KQ faces rougher skies as Uganda, Dar revive their national carriers

b:2/Bei za rejareja za mafuta zitakazoanza kutumika Aprili 4 zimepanda ambapo petroli imepanda kwa TZS 88/lita, dizeli TZS 71/lita & mafuta ya taa TZS 95/lita.Mabadiliko hayo ni kutokana na kupanda kwa bei katika soko la dunia na kuporomoka kwa TZS dhidi ya USD inayonunulia mafuta.4:02 PM - A
pretty sure ur price per litter is way over the ceiling to pay for ur SGR.
 
"Miaka zaidi ya 50 ya kujitawala kwetu tumeshindwa hata kutengeneza pikipiki zetu wenyewe?
Yaani sisi ni dampo la kutupia kila kitu kutoka mataifa ya viwanda.
Bila mkakati wa Elimu bora na wizi wa teknolojia kama walivyofanya China na India,tutabakia hivi hivi tukila ugali na mbilimbi huku bado tukiendelea kushangaa ndege".

" Kuna viwanda bila Umeme nafuu..
Bidhaa itakayozalishwa kwa gharama kubwaa mtauza wapi?
Wewe unafikiri kwa nini Sukari ya Brazil au Pakistani ni rahisi kuliko ya Mtibwa au TPC
Mafuta kupikia ya Kenya ni rahisi kuliko Alizeti ya Singida?
Mafuta ya Kenya kusafiri kote mpaka Tz halafu yauzwe sawa?
Viwanda ni Bla bla bla tu
Kodi nyiingi na umeme ghali...kuna Kiwanda gani?"

Please acknowledge others works.
 
That's why you don't see those aircrafts in Africa, we have no much PX volume in Africa so if a country where to grant landing rights at particular airline, other airlines will complain for luck of business. South Africa Airway wanted to put an order for A380 but they shy away for the same reason plus fuel cost.
Kwa S.africa maybe the fuel cost ndiyo uliyowatoanisha sana lakini ukiangalia PX volume yao mwanzo oliver thambo at 20m iko juu tu sana.

They already had 19 A340 and 10 brand new A330 at the time (2012), what would they do with those aircrafts considering A340 and A330 are more fuel efficient than A380.
 
Do you know what is star alliance? Do you know what is skyteam? Do you know what is codesharing? Do you know why Virgin Atlantic stopped the JFK- NBO Route before exiting kenya? Have you ever boarded an aircraft?
Stop urinating your ignorance

He can't understand what's the meaning of SkyTeam. You need to be a frequent flyer, ndo utakuwa member of (e.g.) FlyingBlue.
Sasa huyo jamaa mwaswast kazoea kupanda matatu.
 
pretty sure ur price per litter is way over the ceiling to pay for ur SGR.
Tanzania itakuwa na karibia jumla ya Megawatt 5000 kutoka Megawatt 1500 na sasa Wizara ya Nishati itabidi kushusha umeme bei...Magufuli.

I was always right to say Tz only generates 1350 megawatts.
 
The language being used here by some of you is so filthy!Eiiiiish!where are your manners?
 
Hapa hata mkashikana Rwanda, Tz, Uganda, Sudan, DRC, Zambia, Mozambique na Malawi hamuwezi kuifikia KQ unless you bring Ethiopia on board.😀😀😀

Happy dreaming Tanzanians
Kama nikwa kutengeneza LOSS kweli mnatuzidi sote
 
Uganda and Tanzanian National carriers will be used to ferry passengers to and fro JKIA. KQ Kazi yake ni kuwasafirisha to other international destinations such as the USA directly.
Wewe jamaa nisiku gani utafanya uchambuzi wa maana.?? Kila kitu kinawakati wake. You always talk of things that dont make sense at all. You better shut that stinking mouth of yours. You sound like a lost sheep Jesus talked about.
 
Am a Lion who leads lost sheep like you.
 
Hujui wala huelewi unachokibandika hapa, Bs!
 
Are u being funny? This 'bad' Kenyan economy you say is in need of salvation by Uganda, Rwanda and Tanzania is nearly as big as all these countries' economies combined!
Kenya economy is collapsing, all sectors are in down turn, IMF, WB, Rotich, Kenya business community, KQ management, Dr.Ndii, CS Balala and other more had confessed, keep on dying. 4.9% growth rate is the lowest in EA, 60% National debt is the highest in Africa, 48% unemployment, is the highest in Africa, what esle do you want to see so that you can believe that Magufuli has got a Key for Kenya economy?
 
"Miaka zaidi ya 50 ya kujitawala kwetu tumeshindwa hata kutengeneza pikipiki zetu wenyewe?
Yaani sisi ni dampo la kutupia kila kitu kutoka mataifa ya viwanda.
Bila mkakati wa Elimu bora na wizi wa teknolojia kama walivyofanya China na India,tutabakia hivi hivi tukila ugali na mbilimbi huku bado tukiendelea kushangaa ndege".

" Kuna viwanda bila Umeme nafuu..
Bidhaa itakayozalishwa kwa gharama kubwaa mtauza wapi?
Wewe unafikiri kwa nini Sukari ya Brazil au Pakistani ni rahisi kuliko ya Mtibwa au TPC
Mafuta kupikia ya Kenya ni rahisi kuliko Alizeti ya Singida?
Mafuta ya Kenya kusafiri kote mpaka Tz halafu yauzwe sawa?
Viwanda ni Bla bla bla tu
Kodi nyiingi na umeme ghali...kuna Kiwanda gani?"
Mbona ujiulizi juu ya nguo tunazo wavalisha
 
Stop overhyping NBO-JFK route without a market research on its profitability. Virgin Atlantic was on the same route some years back and despite being a huge company owned by billionare, they cut it short. Alot of trafic to africa from america still goes through Heathrow and Dubai International because of Such things as Star alliance and SkyTeam agreements
Hana akili huyo asikusumbue sana
 
The language being used here by some of you is so filthy!Eiiiiish!where are your manners?
Jukwa la Kenya kawaida kuwaka moto
Chakwanza ukiwa huku usiogope moderator kukupa burn. Nijambo la kawaida
Pia changia pembeni ukiwa na dictionary la matusi.
 
Kenya economy is collapsing, all sectors are in down turn, IMF, WB, Rotich, Kenya business community, KQ management, Dr.Ndii, CS Balala and other more had confessed, keep on dying. 4.9% growth rate is the lowest in EA, 60% National debt is the highest in Africa, 48% unemployment, is the highest in Africa, what esle do you want to see so that you can believe that Magufuli has got a Key for Kenya economy?
Utangoja sana my brother.
 
Back
Top Bottom