KQ hali ni mbaya Sana, yawafuta kazi 700, na kufuta "routes" za nchi saba za Afrika kutokana na kukosekana kwa abiria

KQ hali ni mbaya Sana, yawafuta kazi 700, na kufuta "routes" za nchi saba za Afrika kutokana na kukosekana kwa abiria

Piga spana hadi akili ikae sawa. 700 wengi sana. Kumbuka kabla ya corona walitangaza hasara ya mabilioni. Kama jambo jet inakuja Tanzania, ipigwe marufuku pia. Maana operations zote za KQ zinaendeshwa na Jambo jet
 
hakuna shirika la ndege linalotengeneza faida kwa sasa, karibu yote yana layoff wafanya kazi kibao. sidhani kama KQ inaweza kufa kirahisi hivyo
 
United Airlines Warns 36,000 Workers They Could Be Laid Off or Furloughed
 
KQ is a special case for a 10th year in a row is minting losses like no one's business! U r wrong to compare KQ to <<<<"any other airlines"!
nimekuelewa kaka KQ inauliwa na wakenya wenyewe na wakiipeleka serikalini ndio imekufa kabisa. nadhani inabidi management yote ibinafsishwe kwa shirika jingine ili lisafishe hii overpayment ya supplies na vitu vingine
 
Hivi zile mbwembwe za kuanza Nairobi New York route ziliishiaga wapi? Nakumbuka tulitukanwa matusi ya kila aina kipindi kile.
 
Hivi zile mbwembwe za kuanza Nairobi New York route ziliishiaga wapi? Nakumbuka tulitukanwa matusi ya kila aina kipindi kile.
Iyo route bado wanayo off course wanapambana nayo ...
 
Back
Top Bottom