joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE : Huu huenda ukawa ndio "last Kicks of a dying horse"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KQ is a special case for a 10th year in a row is minting losses like no one's business! U r wrong to compare KQ to <<<<"any other airlines"!hakuna shirika la ndege linalotengeneza faida kwa sasa, karibu yote yana layoff wafanya kazi kibao. sidhani kama KQ inaweza kufa kirahisi hivyo
nimekuelewa kaka KQ inauliwa na wakenya wenyewe na wakiipeleka serikalini ndio imekufa kabisa. nadhani inabidi management yote ibinafsishwe kwa shirika jingine ili lisafishe hii overpayment ya supplies na vitu vingineKQ is a special case for a 10th year in a row is minting losses like no one's business! U r wrong to compare KQ to <<<<"any other airlines"!
Kq ilishakufa kitambo sema ilikuwa ni dead walkinghakuna shirika la ndege linalotengeneza faida kwa sasa, karibu yote yana layoff wafanya kazi kibao. sidhani kama KQ inaweza kufa kirahisi hivyo
Wajifie kimya kimya na korona yao ya kenyaAcha wajifie tu hao nyang'ao!!
Ongea taratibuATC ikijitangaza ni majanga
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Hivi zile mbwembwe za kuanza Nairobi New York route ziliishiaga wapi? Nakumbuka tulitukanwa matusi ya kila aina kipindi kile.
MY TAKE : Huu huenda ukawa ndio "last Kicks of a dying horse"
Iyo route bado wanayo off course wanapambana nayo ...Hivi zile mbwembwe za kuanza Nairobi New York route ziliishiaga wapi? Nakumbuka tulitukanwa matusi ya kila aina kipindi kile.