Nimeona mahali watanzania wanasema KQ wana lease ndege,Nikajua kingereza kweli kigumu Bongo hawaelewi meaning ya "lease out" KQ imelease out ndege zake tatu .moja leased to Turkish Airlines na itarudishwa this year ingine mbili to oman airlines na zinarudi mwaka huu.
Wabongo naona kingereza ni ngumu sana kwenuView attachment 991151
Unajua maana ya ku sub lease lakin ..utakuwa mkenya wa kwanza haujui..na hiv mnajisifia mnajua kingereza .niambie maana ya sub leaseNimeona mahali watanzania wanasema KQ wana lease ndege,Nikajua kingereza kweli kigumu Bongo hawaelewi meaning ya "lease out" KQ imelease out ndege zake tatu .moja leased to Turkish Airlines na itarudishwa this year ingine mbili to oman airlines na zinarudi mwaka huu.
Wabongo naona kingereza ni ngumu sana kwenuView attachment 991151
Wacha kuogopa wanaume wenzieNimeona mahali watanzania wanasema KQ wana lease ndege,Nikajua kingereza kweli kigumu Bongo hawaelewi meaning ya "lease out" KQ imelease out ndege zake tatu .moja leased to Turkish Airlines na itarudishwa this year ingine mbili to oman airlines na zinarudi mwaka huu.
Wabongo naona kingereza ni ngumu sana kwenuView attachment 991151
Ku sub lease ni kukopesha kitu ulichokikopa kutoka kwa mtu mwngne.hizo B777 sio za KQkama ulitaka kutoa tafsiri ungetumia neno la kiswahili kama mbadala wa lease -out ili nielewe!!
Usialamike sielewi wakati wewe ulieelewa huwezi kunielewesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu KQ ndege nyingi siyo zao bali ni za KLM na France Air hii inatokana na kuwa KQ inakuwa operated na mashirika hayo. Ni kama wakati ule ATCL ilivyokuwa ina ubia na South Africa Airline (SAA) zile ndege nyingi zilikuwa za SAA ulipokufa tu ushirikiano huo walichukua ndege zao. Kwa sasa ATCL inamiliki ndege zetu wenyewe brand new mkuu.Nimeona mahali watanzania wanasema KQ wana lease ndege,Nikajua kingereza kweli kigumu Bongo hawaelewi meaning ya "lease out" KQ imelease out ndege zake tatu .moja leased to Turkish Airlines na itarudishwa this year ingine mbili to oman airlines na zinarudi mwaka huu.
Wabongo naona kingereza ni ngumu sana kwenuView attachment 991151
Haha mawazo yako sikuzote yamechachaTafadhali acha kulinganisha KQ na vikombe vya plastiki
Weka ushahidi umbea hatupendi.Mkuu KQ ndege nyingi zao siyo zao bali ni za KLM na France Air hii inatokana na kuwa KQ inakuwa olerated na mashirika hayo. Ni kama wakati ule ATCL ilivyokuwa ina ubia na South Africa Airline (SAA) zile ndege nyingi zilikuwa za SAA ulipokufa tu ushirikiano walichukua ndege zao. Kwa sasa ATCL inamiliki ndege zetu wenyewe new brand mkuu.
na wewe unajua maana ya wet lease ni nini?Unajua maana ya ku sub lease lakin ..utakuwa mkenya wa kwanza haujui..na hiv mnajisifia mnajua kingereza .niambie maana ya sub lease
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye website ya KQ au KLM ujue KQ inakuwa operated vipi.Weka ushahidi umbea hatupendi.
New brand au brand new?Mkuu KQ ndege nyingi zao siyo zao bali ni za KLM na France Air hii inatokana na kuwa KQ inakuwa olerated na mashirika hayo. Ni kama wakati ule ATCL ilivyokuwa ina ubia na South Africa Airline (SAA) zile ndege nyingi zilikuwa za SAA ulipokufa tu ushirikiano walichukua ndege zao. Kwa sasa ATCL inamiliki ndege zetu wenyewe new brand mkuu.
Hizo mlizo wet lease maybe zinaweza kuwa zenu sijafwatilia mlivyo order ndege ..ila maana ya ku wet lease ni kumkopesha mtu ndege na crew yenu
Hivyo hivyo mkuu!New brand au brand new?
Weka ushahidi Wacha kunituma sijui kwa website. Burden of proof lies with you na kama huna nyamazisha hilo bakuli la kidanganyika kilaza wewe.Nenda kwenye website ya KQ au KLM ujue KQ inakuwa operated vipi.