KQ has 40 Aeroplanes .ATCL has 4.

KQ has 40 Aeroplanes .ATCL has 4.

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,165
Reaction score
1,543
Nimeona mahali watanzania wanasema KQ wana lease ndege,Nikajua kingereza kweli kigumu Bongo hawaelewi meaning ya "lease out" KQ imelease out ndege zake tatu .moja leased to Turkish Airlines na itarudishwa this year ingine mbili to oman airlines na zinarudi mwaka huu.

Wabongo naona kingereza ni ngumu sana kwenu
1.PNG
 
Nimeona mahali watanzania wanasema KQ wana lease ndege,Nikajua kingereza kweli kigumu Bongo hawaelewi meaning ya "lease out" KQ imelease out ndege zake tatu .moja leased to Turkish Airlines na itarudishwa this year ingine mbili to oman airlines na zinarudi mwaka huu.

Wabongo naona kingereza ni ngumu sana kwenuView attachment 991151

Hivi bado mnaendelea kulinganisha KQ na ATC??

Sikia nikwambie... KQ ni sawa na mtu mzima aliyepoteza muelekeo wa maisha na ATC ni sawa na mtoto ambaye anafanya vizuri sana shuleni na anapendwa sana na wazazi wake.

Huwezi kuwalinganisha hawa wawili unapoteza muda tu.
 
Nimeona mahali watanzania wanasema KQ wana lease ndege,Nikajua kingereza kweli kigumu Bongo hawaelewi meaning ya "lease out" KQ imelease out ndege zake tatu .moja leased to Turkish Airlines na itarudishwa this year ingine mbili to oman airlines na zinarudi mwaka huu.

Wabongo naona kingereza ni ngumu sana kwenuView attachment 991151
Unajua maana ya ku sub lease lakin ..utakuwa mkenya wa kwanza haujui..na hiv mnajisifia mnajua kingereza .niambie maana ya sub lease

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nani amekwambia tunanunua ndege ili kushindana na Kenya airways? Tunanunua ndege ili kuboresha Uchumi wetu kwa kuongeza Utalii na vile vile ajira kwa Watanzania, hivyo hata kama Kenya airways ina ndege 1000 haijalishi kwetu!
 
Nimeona mahali watanzania wanasema KQ wana lease ndege,Nikajua kingereza kweli kigumu Bongo hawaelewi meaning ya "lease out" KQ imelease out ndege zake tatu .moja leased to Turkish Airlines na itarudishwa this year ingine mbili to oman airlines na zinarudi mwaka huu.

Wabongo naona kingereza ni ngumu sana kwenuView attachment 991151
Wacha kuogopa wanaume wenzie
umeshindwa kuwajibu kule
umetimka kuanzisha mada ya kipuuzi
Kumbe Mmejifanya kususa macho mmekonoa kama mjusi Kafiri hahaha
Ile battle itawafanya muanzishe thread kutwa kama Vichaa na bado
 
kama ulitaka kutoa tafsiri ungetumia neno la kiswahili kama mbadala wa lease -out ili nielewe!!
Usialamike sielewi wakati wewe ulieelewa huwezi kunielewesha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ku sub lease ni kukopesha kitu ulichokikopa kutoka kwa mtu mwngne.hizo B777 sio za KQ

Hizo wet leased ..nazo sijui kama ni zao ..but wet lease ni ku lease out plane plus crew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali acha kulinganisha KQ na vikombe vya plastiki
 
Nimeona mahali watanzania wanasema KQ wana lease ndege,Nikajua kingereza kweli kigumu Bongo hawaelewi meaning ya "lease out" KQ imelease out ndege zake tatu .moja leased to Turkish Airlines na itarudishwa this year ingine mbili to oman airlines na zinarudi mwaka huu.

Wabongo naona kingereza ni ngumu sana kwenuView attachment 991151
Mkuu KQ ndege nyingi siyo zao bali ni za KLM na France Air hii inatokana na kuwa KQ inakuwa operated na mashirika hayo. Ni kama wakati ule ATCL ilivyokuwa ina ubia na South Africa Airline (SAA) zile ndege nyingi zilikuwa za SAA ulipokufa tu ushirikiano huo walichukua ndege zao. Kwa sasa ATCL inamiliki ndege zetu wenyewe brand new mkuu.
 
Mkuu KQ ndege nyingi zao siyo zao bali ni za KLM na France Air hii inatokana na kuwa KQ inakuwa olerated na mashirika hayo. Ni kama wakati ule ATCL ilivyokuwa ina ubia na South Africa Airline (SAA) zile ndege nyingi zilikuwa za SAA ulipokufa tu ushirikiano walichukua ndege zao. Kwa sasa ATCL inamiliki ndege zetu wenyewe new brand mkuu.
Weka ushahidi umbea hatupendi.
 
New brand au brand new?
 
Nenda kwenye website ya KQ au KLM ujue KQ inakuwa operated vipi.
Weka ushahidi Wacha kunituma sijui kwa website. Burden of proof lies with you na kama huna nyamazisha hilo bakuli la kidanganyika kilaza wewe.
 
Back
Top Bottom