luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
hahahahah ni nani ana zorongaaa !! au ni wale fly dubai ? au fly 360 usi mention ATCL maana hawana mpango wa safari za nairobiRuangariraaaaaaa.
Hajizachakaa zinarogwa na watu Fulani ndio biashara ya KQ ifeli nao wapate nafasi.
aj kumbe ni jane ... umechapia spelling rafiki yangu...badala ya ruangarira NI luangalila .....I love Kenya ....napenda nyimbo za kambua yule gospel singerRuangariraaaaaaa.
Hajizachakaa zinarogwa na watu Fulani ndio biashara ya KQ ifeli nao wapate nafasi.
eunice njeri zaidi ni zaidi .. ma aircrafts ya KQ lzm yajadiliwe leo hapaaaaaa 😳Rugha ya kitanzania hiyo ruangarira.
Who else do you know apart from kambua? It's on a Sunday my friend. Topic ya ma aircrafts tupa kuleeee
Hahahahaha, hahahahaha, hizo ndege chakavu kwa nini msigeuze za kubeba mahindi kuwapelekea Turkana na Samburu?, ni hatari kubeba watu, au kwasababu maisha ya wakenya hayana thamani?nynyi endeleeni na safari za mumbai tu...ya kwetu hamuyawezi
hahahahahahahahahaha ...... ah we raia unajua sana kuheba ...nakumbuka siku ile atcl mafundi wakifanya manual push back uliongea sana humu .... ss dege lenu limebuma tena ktk run way pilot kaliwasha mara 50 haliwakiiiiiiiiHehehe!! Yaani hii ndio mara yako ya kwanza kuskia engine failure wakati wa take off, hutokea hata kwa makampuni makubwa...
hahahahahahahahahaha ...... ah we raia unajua sana kuheba ...nakumbuka siku ile atcl mafundi wakifanya manual push back uliongea sana humu .... ss dege lenu limebuma tena ktk run way pilot kaliwasha mara 50 haliwakiiiiiiii
hahahaha na mm ndio nimeleta UZI hapa usikie ya kuwa pilot aliwasha engine mara 50 + utazan injin ya boti hahahaKwanza kabisa wap imetajwa kwamba walijaribsha engine mara 50, kwani ni engine ya pikipiki....
Hahaha usinikumbushe ndege yenu ikisukumwa kama daladala za vijijini wakati imegoma na hakuna nyingine karibu.
hahahaha wale wa naija ni noma sanaaa aiseeeHey wa Kenya ebu kuwa na respect na pilot wenu pia kumshukuru Mungu ingeruka halafu baada ya dakika moja juu izimike mngesemaje.
Bora KQ wako stranded wanasubiri another flight kuliko Nigeria safari ilikuwa half ndege half bus kwa nauli ya ndege ile ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona rain rangi zake kwa nje zinapendeza🏃🏃Ruangariraaaaaaa.
Hajizachakaa zinarogwa na watu Fulani ndio biashara ya KQ ifeli nao wapate nafasi.
Kwa hali ya kawaida watakuwa walijaribu mara nyingi! Kwa maoni yangu mara 100 ndani ya masaa sita ni more realistic zaidi!Kwanza kabisa wap imetajwa kwamba walijaribsha engine mara 50, kwani ni engine ya pikipiki....
Hahaha usinikumbushe ndege yenu ikisukumwa kama daladala za vijijini wakati imegoma na hakuna nyingine karibu.
sasa ndugu yetu MK254 anafikiri hayo masaa sita walikuwa wamepumzika tu .... kitendo cha kukwama ilikuwa ni majaribio ya kuiwasha injini zaidi ya mara 1 pasipo na mafanikioKwa hali ya kawaida watakuwa walijaribu mara nyingi! Kwa maoni yangu mara 100 ndani ya masaa sita ni more realistic zaidi!