KQ Passangers stranded in kisumu for 6 hours after engine failure

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
SOURCE : https://nairobinews.nation.co.ke/ed...ySFiPDxQFf8i_1Ghk--ZTquUPzTA3dzfWkGjjvtknwdcw
1071235

hahahahaha Pilot alijaribu kuiwasha enjini mara 50 lkn kitu kiligoma waka,..... kusema ni kila siku enjini za ndege za KQ zina pata MASHIDAAA ni vile zimechakaa au nn
 
Ruangariraaaaaaa.
Hajizachakaa zinarogwa na watu Fulani ndio biashara ya KQ ifeli nao wapate nafasi.
hahahahah ni nani ana zorongaaa !! au ni wale fly dubai ? au fly 360 usi mention ATCL maana hawana mpango wa safari za nairobi
 
Ruangariraaaaaaa.
Hajizachakaa zinarogwa na watu Fulani ndio biashara ya KQ ifeli nao wapate nafasi.
aj kumbe ni jane ... umechapia spelling rafiki yangu...badala ya ruangarira NI luangalila .....I love Kenya ....napenda nyimbo za kambua yule gospel singer
 
Rugha ya kitanzania hiyo ruangarira.
Who else do you know apart from kambua? It's on a Sunday my friend. Topic ya ma aircrafts tupa kuleeee
eunice njeri zaidi ni zaidi .. ma aircrafts ya KQ lzm yajadiliwe leo hapaaaaaa 😳
 
MK254 hili swala vp haulioni ? au upo busy kum nadi Dkt. W.Ruto kwa ajili ya GE 2022
 
nynyi endeleeni na safari za mumbai tu...ya kwetu hamuyawezi
 
MK254 hili swala vp haulioni ? au upo busy kum nadi Dkt. W.Ruto kwa ajili ya GE 2022

Hehehe!! Yaani hii ndio mara yako ya kwanza kuskia engine failure wakati wa take off, hutokea hata kwa makampuni makubwa...

hahahahahahahahahaha ...... ah we raia unajua sana kuheba ...nakumbuka siku ile atcl mafundi wakifanya manual push back uliongea sana humu .... ss dege lenu limebuma tena ktk run way pilot kaliwasha mara 50 haliwakiiiiiiii
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Kwanza kabisa wap imetajwa kwamba walijaribsha engine mara 50, kwani ni engine ya pikipiki....
Hahaha usinikumbushe ndege yenu ikisukumwa kama daladala za vijijini wakati imegoma na hakuna nyingine karibu.
 
Hey wa Kenya ebu kuwa na respect na pilot wenu pia kumshukuru Mungu ingeruka halafu baada ya dakika moja juu izimike mngesemaje.

Bora KQ wako stranded wanasubiri another flight kuliko Nigeria safari ilikuwa half ndege half bus kwa nauli ya ndege ile ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha na mm ndio nimeleta UZI hapa usikie ya kuwa pilot aliwasha engine mara 50 + utazan injin ya boti hahaha
 
Hey wa Kenya ebu kuwa na respect na pilot wenu pia kumshukuru Mungu ingeruka halafu baada ya dakika moja juu izimike mngesemaje.

Bora KQ wako stranded wanasubiri another flight kuliko Nigeria safari ilikuwa half ndege half bus kwa nauli ya ndege ile ile

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha wale wa naija ni noma sanaaa aiseee
 
Kwanza kabisa wap imetajwa kwamba walijaribsha engine mara 50, kwani ni engine ya pikipiki....
Hahaha usinikumbushe ndege yenu ikisukumwa kama daladala za vijijini wakati imegoma na hakuna nyingine karibu.
Kwa hali ya kawaida watakuwa walijaribu mara nyingi! Kwa maoni yangu mara 100 ndani ya masaa sita ni more realistic zaidi!
 
sasa ndugu yetu MK254 anafikiri hayo masaa sita walikuwa wamepumzika tu .... kitendo cha kukwama ilikuwa ni majaribio ya kuiwasha injini zaidi ya mara 1 pasipo na mafanikio
 
Back
Top Bottom