KQ Passangers stranded in kisumu for 6 hours after engine failure

hahahaha na mm ndio nimeleta UZI hapa usikie ya kuwa pilot aliwasha engine mara 50 + utazan injin ya boti hahaha

Protocols za take-off hueleza kwamba kuna mengi ya kucheck kitokea engine imegoma, sio kuwasha washa tu.
 
Vipi injini zao sio push to start, konzi moja tu injini imewaka?
Inabidi tuwakodishie Madee yetu unajua sie donor country Bana [emoji110][emoji851][emoji851][emoji3063][emoji23][emoji1787][emoji16]
Sent using Nokia 6
 
hahahahahaha eti push to start
 
Kichwa kilifaa kiwe; "ATCL kusafirisha abiria Mumbai"
Bado wamekwama chattle joto la jiwe na usisahau signature yako ya failed state πŸ˜€πŸ˜€
 
Kichwa kilifaa kiwe; "ATCL kusafirisha abiria Mumbai"
Bado wamekwama chattle joto la jiwe na usisahau signature yako ya failed state πŸ˜€πŸ˜€
bro, usijisumbue Sunday na hawa vilaza. wanatumia internet ya ofisini kwandika upuuzi hapa jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…