Nilikua naongelea hii picha na link ya ripoti hiyo hapo chini. Ukiipitia utakuta Ethiopian airline imetajwa mara kibao tu.Mkuu itakuwa hujajua nimejibu post ipi... niliemquote alisema tufikirie kuifikia uganda kabla KQ, sasa nikamjibu kuwa target yetu hatutizam wadogo tunatizama wakubwa zaidi.... Sasa ripoti gani hapo unazungumzia? na wala hakuitaja Ethiopian Airline
......Read more here>>> Kenya Airways traffic grows 71% in 10 years to 4.46 million passengers