kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
With Corona, ATCL is now worth more in net assets than broke KQ
Japokuwa coronavirus imeathiri biashara ATCL hapa ilipo inaendeleza operations kwenda routes zaidi ya kumi ndani ya Tanzania! ndo maana nikafungua link hii kuonyesha Tanzania si level ya Kunyaland when it comes to superior infrastructure!
Airports: Kenya vs Tanzania - JamiiForums
Hahahaha, hivi unajua maana ya ATCL?, huko mwisho kuna neno "Limited", tangu lini serikali ikawa ni "Limited company?.ATCL = Serikali
Which means,
Deni la serikali = Deni la ATCL
ATCL haihitaji kuomba pesa, kwa sababu serikali automatically inaipa pesa.
Nitangoja hapa utueleze ile siku ATCL itanunua ndege kwa pesa zake.
Upo sahihi jombaa, hakuna uhusiano wowote kati ya ATCL na ndege kukamatwa. .....ndege zilikamatwa kwasababu ya deni la walionunua ndege hizo, ambao ni GoT sio ATCL. So what exactly is ATCL kama sio jina tu? Prove me wrong, tupe uhondo wa faida ambayo ATCL wamekuwa wakitengeneza. Leta financial statements za 2017,18,19.Wacha kuchanganya mafaili, weka kumbukumbu zako vizuri. Ndege zilizuiliwa na mtu binafsi anayeidai serikali ya Tanzania deni lake la miaka mingi baada ya kushinda mahakamani, hilo deni linahusisha mashamba toka miaka ya 80s, halina uhusiano wowote na ATCL.
Hili la juzi ndio lenye uhusiano na ATCL, lakini hakuna ndege yoyote iliyokamatwa kutokana na ukweli kwamba, kipindi cha kukata rufaa hakijakwisha, na serikali imeshasema itakata rufaa.
Hadi sasa hivi ATCL inafanya biashara bila kutegemea ruzuku toka serikalini, hatutegemei ruzuku ya serikali kama ilivyo KQ.
Hahahaha, Cessna? Why don't you give that advice to KQ which is in ICU now?, About domestic passengers, Tanzania has more than three times than Kenya, remember that Tanzania has got almost three times numbet of $Millionaires than KenyaAnza na passenger numbers.
Ama passengers per 100,000 people.
Building 10 ghost airports is pointless when 99% of your population has never and cannot afford to fly.
ATCL would be more successful if they bought Cessna planes to serve these pockets of travellers. [emoji23] [emoji23]
Akirudi nitagHahahaha, Cessna? Why don't you give that advice to KQ which is in ICU now?, About domestic passengers, Tanzania has more than three times than Kenya, remember that Tanzania has got almost three times numbet of $Millionaires than Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wewe ni punguani kweliAcha zako wewe, yaani huoni uhusiano wa ndege kukamatwa kwasababu ya madeni na hasara kibiashara? Hata baada ya wewe kukata kiuno hadi kikateguka wakati wa mapokezi ya bombadia? [emoji1] Wiki tatu hazijaisha tangu nuksi nyingine iwaandame, kama kawa. Baada ya mahakama ya UK kuamuru Any Time Cancellation Limited(ATCL) ilipe kampuni ya Liberia 69 billion shs! ATCL ordered to pay Liberian company $40 Million
Kq is a Loss making monster, πΎπΉWith this kind of simple reasoning, give this corona two more weeks and your small ATCL will be worth more than Delta and American Airlines combined (before they are bailed out).
The trademark KQ alone is worth more than your entire ATCL, with or without the planes.
The prime landing slots, alliances, routes, permits, client list, network etc that KQ has, are 10 - 50 times the worth of your ATCL.
Ngoja nikupe shule kidogo, unaliona hilo deni la $40M?, hilo linaonekana ktk vitabu vya ATCL, pamoja na madeni mengi yalitotokea enzi za nyuma wakati ATCL haikuwa na ndege za kutosha kiasi kwamba hawakuwa na uwezo wa kuzalisha pesa ya kuwawezesha kulipia gharama zao za uendeshaji za kila siku na kulipo mikopo kama huu wa $40M.Upo sahihi jombaa, hakuna uhusiano wowote kati ya ATCL na ndege kukamatwa. .....ndege zilikamatwa kwasababu ya deni la walionunua ndege hizo, ambao ni GoT sio ATCL. So what exactly is ATCL kama sio jina tu? Prove me wrong, tupe uhondo wa faida ambayo ATCL wamekuwa wakitengeneza. Leta financial statements za 2017,18,19.
LOL I think kq needs whatever advice like this as a strategic plan of rescuing it from the deep sewage stagnation, the crippled kq is not even worthy of a dilapidated Cessna, 3 first world War planes the whole kq owns, need to go recycled if they are lucky wanted anyway ππππππAnza na passenger numbers.
Ama passengers per 100,000 people.
Building 10 ghost airports is pointless when 99% of your population has never and cannot afford to fly.
ATCL would be more successful if they bought Cessna planes to serve these pockets of travellers. π π
Hahahaha, Cessna? Why don't you give that advice to KQ which is in ICU now?, About domestic passengers, Tanzania has more than three times than Kenya, remember that Tanzania has got almost three times numbet of $Millionaires than Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, hivi unajua maana ya ATCL?, huko mwisho kuna neno "Limited", tangu lini serikali ikawa ni "Limited company?.
serikali imenunua ndege na kuwakodishia ATCL ambalo ni kampuni la kibiashara, wanapaswa kulipa devidend serikalini na kulipa madeni yao yote ya nyuma, hicho ndicho wanachokifanya, wakishindwa kutoa devidend serikalini, serikali itachukua ndege zake na kumpa mtu mwrngine, kwahiyo serikali haiwajibiki kuwapa ATCL pesa ya kuendesha biashara yao, wakihitaji pesa itawalazimu kutafuta vyanzo vyao, sio kuibebesha mzigo serikali kama inavyofanya KQ.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kq is a Loss making monster, πΎπΉ
ππππππππππππ
No business wants that virus
Jee ulitaka wanyamaze kimya?Yaani leo mmepata ubavu wa kuizungumzia KQ, kisa Corona na athari zake kibiashara? Mmesahau yule mkulima mmoja tu anavoihemesha ATCL(Any Time Cancellation Limited)? [emoji1] Mmenikumbusha mlivoandamana na mabango yenu yalioandikwa kwa kiingereza chenu ndomboloo, mkitegemea majaji kule S.Africa wataelewa kilio chenu. [emoji23]
LOL I think kq needs whatever advice like this as a strategic plan of rescuing it from the deep sewage stagnation, the crippled kq is not even worthy of a dilapidated Cessna, 3 first world War planes the whole kq owns, need to go recycled if they are lucky wanted anyway ππππππ
Link from 2017?, even the idea of buying new planes was not born, even our airports were not renovated yet, bring data of 2019/20 and you will never come here again, we are moving very fast not stagnating like youKQ has enough international travellers to justify big planes. ATCL none.
Also, at no point in history has TZ had more air travellers than Kenya. Domestic or otherwise. You're just making stuff up to feel happy about yourself.
Kenya is king of domestic air travel in Africa
On the report about millionaires, I'm sure you are talking about that Knight Frank report.
I read the PDF and those numbers are just bogus.
Kenya is listed above Tanzania in every single metric in that 57 page report, except when it comes to number of millionaires.
Just laughable.
Also, every other report known to man has said Kenya has many more millionaires than Tanzania, expect this single one.
Go read it yourself and see if it makes any sense to you - The Wealth Report 2020 - Knight Frank
View attachment 1405024
Operations za ATC kwa wanaofahamu siyo za hasara bali kinachowaumizaNi kama mkono wako wa kulia kakopesha mkono wako wa kushoto pesa.
ATCL walipe serikali dividend vipi kama operation yao ni hasara tupu?
Kila mwaka GOT inaongeza pesa ATCL, sio vice versa.
Ukweli ni kwamba kuvunja ATCL itakuwa aibu kubwa kwa Magufuli, na ndio maana ako tayari serikali ikule hio hasara ya kila mwaka.
Kama ATCL ingewachwa ijiendeshe kama 'limited company', hawangekuwa na ndege zaidi ya mbili, wangekuwa na madeni kibao, na shirika lingekuwa lishavunjwa.
Onyesha ushahidi ni lini ATCL imeomba pesa kama inavyoomba KQ.Ni kama mkono wako wa kulia kakopesha mkono wako wa kushoto pesa.
ATCL walipe serikali dividend vipi kama operation yao ni hasara tupu?
Kila mwaka GOT inaongeza pesa ATCL, sio vice versa.
Ukweli ni kwamba kuvunja ATCL itakuwa aibu kubwa kwa Magufuli, na ndio maana ako tayari serikali ikule hio hasara ya kila mwaka.
Kama ATCL ingewachwa ijiendeshe kama 'limited company', hawangekuwa na ndege zaidi ya mbili, wangekuwa na madeni kibao, na shirika lingekuwa lishavunjwa.
Ndio hao. Kabla ya kukata viuno walikata utepe kwanza. [emoji1]Kumbe hawa ndio wakata viuno? I hope alipona though
Hayo yote for just a bombardier? π π πNdio hao. Kabla ya kukata viuno walikata utepe kwanza. [emoji1]Kisha ikawa ni siku ya sherehe ya mapokezi ya bombadia. Jamaa walirarua minofu kweli kweli siku hiyo, hadi siku ya pili walikuwa wanatoa uboho wa ng'ombe kwenye masikio yao. [emoji1]