KQ sasa inapiga Route za daladala - wanasema hazina pesa za kukidhi mishahara na madeni

KQ sasa inapiga Route za daladala - wanasema hazina pesa za kukidhi mishahara na madeni

Hakuna aliyesema kwamba deni lilikuwa la ATCL. Ila hizo hela shs 69 billion ni ATCL ndio wameamrishwa na mahakama walipe. Hawana uwezo wa kulipa hela hizo, na hakuna ATCL bila GoT. Ndio maana ndege lilipokamatwa mawakili wenu walidai kwamba shughuli za rais zilisimama kwa muda eti kwasababu humo ndani kulikuwa na documents zake za siri. [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Village economics.
Deni liwe la ATCL ama la serikali, bado ni deni litalipwa.

Your government borrowed billions to buy ATCL planes. It is still debt that will have to be paid, whether it was advertised as such or just announced as normal government borrowing.

Also, I'm sure KQ weekly revenue is higher than ATCL annual revenue. What you have is a small fleet equivalent to some Safari companies based out of Wilson airport.

Meanwhile, here are US airlines requesting for a government bailout bigger than your entire GDP.
$50 billion airline bailout won't be enough to save US industry

The fact that ATCL does not need any bailout means it was not making any money to begin with. They are just trophy planes for Makufuli, and the chicken will eventually come to roost.
Kama kuna mtu anaweza kuandika ujinga kuzidi huu , nina zawadi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha zako wewe, yaani huoni uhusiano wa ndege kukamatwa kwasababu ya madeni na hasara kibiashara? Hata baada ya wewe kukata kiuno hadi kikateguka wakati wa mapokezi ya bombadia? [emoji1] Wiki tatu hazijaisha tangu nuksi nyingine iwaandame, kama kawa. Baada ya mahakama ya UK kuamuru Any Time Cancellation Limited(ATCL) ilipe kampuni ya Liberia 69 billion shs! ATCL ordered to pay Liberian company $40 Million
Case zote wameshinda na ndege zilirudi zikaendelea na safari zake , na huku ndege inayotoka nje ni moja au mbili , hizi nyingine zinafanya kazi hapa hapa ndani , madhara sio makubwa sana hapa kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kuchanganya mafaili, weka kumbukumbu zako vizuri. Ndege zilizuiliwa na mtu binafsi anayeidai serikali ya Tanzania deni lake la miaka mingi baada ya kushinda mahakamani, hilo deni linahusisha mashamba toka miaka ya 80s, halina uhusiano wowote na ATCL.

Hili la juzi ndio lenye uhusiano na ATCL, lakini hakuna ndege yoyote iliyokamatwa kutokana na ukweli kwamba, kipindi cha kukata rufaa hakijakwisha, na serikali imeshasema itakata rufaa.

Hadi sasa hivi ATCL inafanya biashara bila kutegemea ruzuku toka serikalini, hatutegemei ruzuku ya serikali kama ilivyo KQ.

Sent using Jamii Forums mobile app

No wonder unamuabudu Magufuli.
 
Case zote wameshinda na ndege zilirudi zikaendelea na safari zake , na huku ndege inayotoka nje ni moja au mbili , hizi nyingine zinafanya kazi hapa hapa ndani , madhara sio makubwa sana hapa kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona zilikatiza safari za nje baada ya viuno kukatwa hadi zikateguka?
 
We utopolo uko dunia ya wapi ? Hakuna ndege inayotoka au kuingia Tz, hata South Africa wenyewe ndege zao zote wamepack hazifanyi kazi kwasasa

ATCL ilisimama wakati wa Xenophobia peke yake , wakati huo huo trip za china , Mumbai , entebe zilikua zinaendelea , na baada ya Xenophobia safari ziliendelea hadi majuzi safari zilivyo sitishwa kwasababu ya COVID
ATCL bado inaenda South Africa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't be a shoddy economist.
Most Tanzanians cannot afford to fly. Very little has changed in 2 years.

Buying 5 planes has not put more money in Tanzanians pockets. They still cannot afford to fly.

Ata nauri ikipungua kidogo, haitabadilisha economics za nchi.

ATCL will just share passengers with other airlines, from the same small pool of total passengers.
Wivu tu umekujaaa

Inhia online booking za ATCL uone kama ndege za ATCL hazijai au hazina abiria .Inaweza kuona ndege zinazoruka sehemu mbalimbali Tanzania kila siku kufikia mtandao wa ATCL
 
Zama online jaribu fanya booking ndege za kesho , au hata jumapili

mna ujinga mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wivu tu umekujaaa

Inhia online booking za ATCL uone kama ndege za ATCL hazijai au hazina abiria .Inaweza kuona ndege zinazoruka sehemu mbalimbali Tanzania kila siku kufikia mtandao wa ATCL

Hahahaha.
Usijifanye hujui zimejazwa na government officials kwa sababu ya directive za dikteta wenu.

Pia, Dreamliner sio ndege ya route za ndani. It will never be economical.
Dreamliner inahitaji wasafiri wa kulipa nauri kubwa.
 
Zama online jaribu fanya booking ndege za kesho , au hata jumapili

mna ujinga mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ficha kichwa mchangani, lakini unajua umaskini ulivyojaa Tanzania.
Mshahara wa mtanzania wa kawaida wa mwaka mzima hauwezi lipa nauri ya kufika London au New York.

Dreamliner zenu, ambazo zilijengwa kwenda route za mbali ili ziwe economical, zinatumika route za ndani kwa amri ya dikteta mkuu ili kuwaficha macho maskini wapiga kura.

Zimejaa watumishi wa serikali, wanaolipiwa nauri na serikali.
Ni pesa ya serikali tu inazungushwa kwenye taasisi za serikali.
 
Serikali imeajiri watu chini ya milion moja we kiazi , Tanzania ina watu zaid ya mil 55 .. kwa kifupi hatutegemei mishahara kuishi , chini ya 10% tu ndio waajiriwa , the rest ni wafanya biashara au wakulima ,

Hakuna shirika lolote la ndege linalofanya safari kwenye sehemu yeyote kwasasa , fanya booking online kiaz wewe uje na majibu hapa , sii lazima ATCL , Hata precision air jaribu uone kama utapata nafasi ndani ya wiki hii , mnakaa mna hadithiana ujinga ujinga ujinga , zama hapo ujaribu kufanya booking kiaz ww

Maliza huu mjadala kwa kuleta audited reports za ATCL.
Bila hizo, kojoa ulale.
 
Maliza huu mjadala kwa kuleta audited reports za ATCL.
Bila hizo, kojoa ulale.
Acha upopoma , umesema ndege hatupandi, nenda kwenye shirika lolote la ndege hapa nyumbani , jaribu fanya booking , alafu urudishe kalio hapa tuendelee mbele

Report ya CAG kuhusu ATCL ipo humu humu, mnakutanaga na watu wepesi hawajui kujenga wala kutetea hoja mnajiona mwajua sana sio ?? zama mtandaoni hapo leta screenshot

Kojoa ulale. No flights.
Na zile ziko, very expensive. How can a poor Tanzanian afford to pay Ksh 17,000 ($170) for a domestic flight, one way, economy? LOL!
The average monthly salary of a Tanzanian is $83. 😂 😂 😂

fly1.JPG
 
Back
Top Bottom