KQ sasa inapiga Route za daladala - wanasema hazina pesa za kukidhi mishahara na madeni

Kweli kabisa, ATCL mpaka hili zuio la Corona linaanza, ilikua inategemea faida zaidi kutokana na "Domestic routes" kuliko routes za nje, bado routes za ndani zinaendelea, zimeathirika kidogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Which Tanzanians travel domestically using your grounded planes na wengi wenu ni watu was vijiweni? Najua zinaota kutu kama kawaida baada ya nyimbo za tuta-tua Guangzhou sijui Johannesburg mara Mumbai lakini ng'o! Minofu ya Qatar iliishia wapi? Bure kabisa!
 
Ushamba! Alafu zikaishia parking kuota kutu.
 
Tanzania has 3 times $millionaire than Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Satafrika walienda siku mbili wakashindwa kurudi huko tena halafu wanasingizia machafuko. Wanafikiri hii biashara ni kama ile ya kuuza pweza kando ya bahari! 😂 😂 😂
 
Operations za ATC kwa wanaofahamu siyo za hasara bali kinachowaumiza
sana ni kulipa madeni yalioachwa na viongozi waliopita ambayo serikali imeliambia shirika hilo liwajibike kwa madeni hayo.

Hasara ya ATCL ni hasara ya serikali. Hata ATCL ikikosa kuiorodhesha kwa vitabu vyake.

Mamilioni ya dola yaliotumika kununua dreamliner, lazima yatalipwa.
Haya hayako kwa vitabu vya ATCL.

Kwa maana, deni la ATCL = deni la GOT
 
Link from 2017?, even the idea of buying new planes was not born, even our airports were not renovated yet, bring data of 2019/20 and you will never come here again, we are moving very fast not stagnating like you

Sent using Jamii Forums mobile app

Don't be a shoddy economist.
Most Tanzanians cannot afford to fly. Very little has changed in 2 years.

Buying 5 planes has not put more money in Tanzanians pockets. They still cannot afford to fly.

Ata nauri ikipungua kidogo, haitabadilisha economics za nchi.

ATCL will just share passengers with other airlines, from the same small pool of total passengers.
 
Operations za ATC kwa wanaofahamu siyo za hasara bali kinachowaumiza
sana ni kulipa madeni yalioachwa na viongozi waliopita ambayo serikali imeliambia shirika hilo liwajibike kwa madeni hayo.

Gharama kubwa ya airlines ni aircraft acquisition. Ndio maana hasara ni kawaida kwa hii industry.
ATCL ilitumia pesa gani kununua ndege?
 
What's the follow up on that highly documented maiden trip to new york?
 
ATCL na selekali ya TZ ni kitu kimoja, hawana haja ya kuomba serekali manake wao ni serekali. NDege, spare partsetc zina nunuliwa na serrekali.
KQ ni kampuni ambayo imepewa nguvu za kisheria na kibiashara ku operate kama kampuni ya kibisafsi, wakitaka kununua engine mpya, spare parts au ndege basi ni watumie pesa zao zilizoko kwa account yao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…