KQ sasa inapiga Route za daladala - wanasema hazina pesa za kukidhi mishahara na madeni

Jifunze hata ku Google , learn how to use Google , Ukiangalia hapo kuna trip mbili za DSM MBEYA.. ndege ya Saa saba na ndege ya saa tisa , kuna ndege ya Moshi/Kilimanjaro pia .. bado siti mbili

Jifunze ku Google kwanza then uje ku-argue ... empty head.. kujaza data tu hapo umeshindwa alafu unakuja piga kelele... and this tell us another story...ndege unazisikia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendi aibisha mtu kutokana na ujinga wake , ila kuna wakati inabidi tu ili akili ikukae sawa

nyinyi kama mnaishi kwa kutegemea mishahara ni nyie , huku kwetu ni less than 10% ndio wanaishi kwa mishahara.. the rest kila mtu ana mambo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DSM dodoma.. jion leo


Ukishajua namna ya kutumia google na kujaza details kwenye websites kama hizi ndio urudi hapa tuendelee , tofaut na hapo katafute wajinga wenzio mjadili ujinga wenu

alafu , nyongeza.. Dodoma hiyo hiyo treni ipo, kuna kampuni za bus zaid ya 10 zinapiga trip dsm dodoma .. at least bus mbili per trip.. bus za Singida zinapita hapo, za tabora , za kahama, za geita , za mwanza , za katavi na bukoba..zote zinapita hapo ... you can imagine ni bus ngapi zinapita hiyo route , ndege hua ni tatu kwa siku , na zinajaza ... Walio waita Kunyaland hawakukosea uwezo wa ku reasoning ni mdogo sana , mdogo mno

Nimekupa ndege za kati , mikoa ya kusini, mikoa ya kaskazini pamoja na kanda ya ziwa , nimekutoa ujinga kias chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mjinga ni zero kama hizo sifuri zilizopo kwenye ID yake 😂😂😂
 

Toa ujinga hapa.
Unadhani sijui psychology ya kuuza. (Marketing tricks).

Wataandika 'Last 3 seats' ili ukimbie kulipa nauri kabla ijae. Kumbe ni wanakuchezea akili tu. Ndege iko empty.

Same case duka huandika 'Sale' kumbe bei ni ile ile.
 

Jifunze terminology.
Nikisema 'salary' kwa hii context, simaanishi mshahara wa kulipwa pekee.

Namaanisha income. Yaani GDP per capita.

GDP per capita ya Tanzania ni chini ya $1000. Kumaanisha Mtanzania wa kawaida anapata income ya $83 per month.
Hii inaweza kuwa mshahara au pesa kutoka biashara zake.

Wewe mkuu umewahi ingia darasa la economics?
 
Toa ujinga hapa.
Unadhani sijui psychology ya kuuza. (Marketing tricks).

Wataandika 'Last 3 seats' ili ukimbie kulipa nauri kabla ijae. Kumbe ni wanakuchezea akili tu. Ndege iko empty.

Same case duka huandika 'Sale' kumbe bei ni ile ile.
Wewe ni mjinga kama sifuri zilizoko kwenye jina lako

mada imeisha

Tuna Millionaires and Billionaires wengi kuliko nyie mara kadhaa

Luxembourg GDP yao ni ngapi ? wanaishi hayo maisha ?? again tunarudi kule kule, wewe ni mjinga kama hizo sifuri kwenye jina lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KQ's Ngorongoro crater dreamliner parked!


MY TAKE
Seems the use of Ngorongoro crater name couldn't save loss making KQ from the wrath of covid19! 😀 😀 😀 😀 ☝☝☝☝
 
Ni wajinga sana hawa jamaa kwakweli, ujinga wao hauna kipimo, pia wana shobo mno yn hakuna mkenya asiekuwa na shobo kuanzia rais wao mpk mkenya wa kawaida.
The good thing is they r putting their efforts in marketing our tourist attractions! In today's world of Internet everything is online no single tourist will fly to Kenya to visit Ngorongoro crater or climb Mt Kilimanjaro! At a click on Google search engine! Believe me if they wuould have used that effort to advertise say Mt Kenya or Tsavo NP things would be lovely to them by now!
 
Kq is international unlike Atcl, mbona hauongei other airlines like ET that have adopted Kilimanjaro, Klm that uses cities to name their aircrafts, atcl is a toddler learning how to walk,atleast unajua kq has a dreamliner called ngorongoro crater

Sent using Jamii Forums mobile app
 
none of the people from these two airlines r claiming Mt Kilimanjaro to be in their backyard like the Kunyans!

Nani anajua hizi NP?

Mount Kenya National Park & Reserve

Amboseli National Park

South Island National Park

Saiwa Swamp National Park

Sibiloi National Park

Ruma National Park

Ol Donyo Sabuk National Park

Ndere Island National Park

Mount Longonot National Park

Mount Elgon National Park

Meru National Park

Marsabit National Park & Reserve

Kora National Park

Chyulu Hills National Park

Central Island National Park
 
Why shouldnt we market a mountain that can be seen from Amboseli, not every tourist wants to climb, most enjoy seeing wildlife with the mountain in the backdrop, and it has worked.You own the mountain but not the viewing rights.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…