joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, KQ hoyeeeeeeeeeeeeeEven in a basic class that is if you went to class at all. In a main topic there are normally Sub topics so Acha kutuambia cha kufanya hapa Eish.
KQ haina uwezo wa kununua Hata choo cha dreamliner, FAKE news as usual. Wakenya akisema Maneno 100, chukua mawili tu, yaliyobaki ni uongo mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, KQ hoyeeeeeeeeeeeee
Ndege kumi kwa mpigo hoyeeeeeere
Kudadadeki.
Wazee wa kupenda sifa, ona mnavyojidhalilisha.
Weraaaaaaaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha, wivu na ndege 3 + ndege kumi za kwenye makaratasi, kama kawaida yenu kupika dataDrimulaina ni wheelbarrow aina gani. We know mnasikia wivu kama yote, those TukTuks of your will not go anywhere si tuko hapa pamoja
Weraaaaaaa, Wazee wa ndege kumi kwa mpigo. Shikamooo KQATCL HAAAAHAAA Coast bus ni kubwa kuliko hivo vibaba. Msishindane na Ndovu kuchamba binadamu kutoka dark country unajua utakavyofanyika
I know because I am not ignorant and ofcourse i have friends at KQ who are in management
I know because I am not ignorant and ofcourse i have friends at KQ who are in management
Hahahahahahaha, wivu na ndege 3 + ndege kumi za kwenye makaratasi, kama kawaida yenu kupika data
Sent using Jamii Forums mobile app
Its useless arguing with a person who cant stick to the topicI think it's a wastage of time arguing with someone who can't recall what s/he said two minutes ago. You can't make two clean sentences without the last one contradicting the first one.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gekoyo timamu & jito la jiwe are so obstinate. They'll never concede defeat in any discussion. Their airbus is gonna be sold soon.they're so bitter right now. Huhhuhhuh
Very desperate individuals. Acha mikebe yao ipate kutu wakiponda KQ.watashika adabuThey will say anything even in kisukuma to massage their lame egos
Very desperate individuals. Acha mikebe yao ipate kutu wakiponda KQ.watashika adabu
Niliuliza swali moja ya msingi, KQ wanapata wapi hela ya kununua NDEGE?
Niliuliza hivyo kwa sababu,
mosi: KQ haina pesa zake, kwa maana inapata hasara kila mwaka.
Pili: haiwezi kopesheka kwa sababu mpaka sasa imekwama kwenye lindi la madini, hivyo haikopesheki (low creditworthiness).
Tatu: haina mipango ya makusudi na matumaini hivi karibuni ya kurekebisha hali.
Hahahahaha savage. Nimecheka sana. eliakeem hahaha 😃You are just fat with a big stomach. What is your nose doing in our business
I always tell folks in here not to believe news from Kenyan sources. here is the proofI knew it was a scam very early from the first glance, how possible crippled organization like KQ could do that? Daily losses, daily diminishing their services, from which grounds they could even approach Boeing? The answer is never.
Hiyo pesa ya kununua ndege kama mnayo wanunulieni chakula Kule Turkana, Sisi tutawapa hiyo ndege bure kabisa kama mchango wetu kwa wanaokufa kwa njaa huko Kenya, kama tuliweza saidia nchi tatu kwa mpigo, hamuwezi shindwa kuwapa hiyo ndege bure, ninyi ni jirani wetu mwemaGekoyo timamu & jito la jiwe are so obstinate. They'll never concede defeat in any discussion. Their airbus is gonna be sold soon.they're so bitter right now. Huhhuhhuh
William ruto atanunua hiyo ndege ili mpate hela za kununua maziwa huko Uganda watoto wenu wanywe angalau utapia mlo upungue nchini.Hiyo pesa ya kununua ndege kama mnayo wanunulieni chakula Kule Turkana, Sisi tutawapa hiyo ndege bure kabisa kama mchango wetu kwa wanaokufa kwa njaa huko Kenya, kama tuliweza saidia nchi tatu kwa mpigo, hamuwezi shindwa kuwapa hiyo ndege bure, ninyi ni jirani wetu mwema
Sent using Jamii Forums mobile app