KQ still owns 3 planes only hizi habari za Boeing 737-800 Max 10 units order is fake

KQ still owns 3 planes only hizi habari za Boeing 737-800 Max 10 units order is fake

Even in a basic class that is if you went to class at all. In a main topic there are normally Sub topics so Acha kutuambia cha kufanya hapa Eish.
Hahahaha, KQ hoyeeeeeeeeeeeee
Ndege kumi kwa mpigo hoyeeeeeere
Kudadadeki.
Wazee wa kupenda sifa, ona mnavyojidhalilisha.
Weraaaaaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KQ haina uwezo wa kununua Hata choo cha dreamliner, FAKE news as usual. Wakenya akisema Maneno 100, chukua mawili tu, yaliyobaki ni uongo mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app

Drimulaina ni wheelbarrow aina gani. We know mnasikia wivu kama yote, those TukTuks of your will not go anywhere si tuko hapa pamoja
 
Hahahaha, KQ hoyeeeeeeeeeeeee
Ndege kumi kwa mpigo hoyeeeeeere
Kudadadeki.
Wazee wa kupenda sifa, ona mnavyojidhalilisha.
Weraaaaaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

ATCL HAAAAHAAA Coast bus ni kubwa kuliko hivo vibaba. Msishindane na Ndovu kuchamba binadamu kutoka dark country unajua utakavyofanyika
 
Gekoyo timamu & jito la jiwe are so obstinate. They'll never concede defeat in any discussion. Their airbus is gonna be sold soon.they're so bitter right now. Huhhuhhuh
 
Niliuliza swali moja ya msingi, KQ wanapata wapi hela ya kununua NDEGE?
Niliuliza hivyo kwa sababu,
mosi: KQ haina pesa zake, kwa maana inapata hasara kila mwaka.
Pili: haiwezi kopesheka kwa sababu mpaka sasa imekwama kwenye lindi la madini, hivyo haikopesheki (low creditworthiness).
Tatu: haina mipango ya makusudi na matumaini hivi karibuni ya kurekebisha hali.
 
You are just fat with a big stomach. What is your nose doing in our business
 
I knew it was a scam very early from the first glance, how possible crippled organization like KQ could do that? Daily losses, daily diminishing their services, from which grounds they could even approach Boeing? The answer is never.
I always tell folks in here not to believe news from Kenyan sources. here is the proof
 
Gekoyo timamu & jito la jiwe are so obstinate. They'll never concede defeat in any discussion. Their airbus is gonna be sold soon.they're so bitter right now. Huhhuhhuh
Hiyo pesa ya kununua ndege kama mnayo wanunulieni chakula Kule Turkana, Sisi tutawapa hiyo ndege bure kabisa kama mchango wetu kwa wanaokufa kwa njaa huko Kenya, kama tuliweza saidia nchi tatu kwa mpigo, hamuwezi shindwa kuwapa hiyo ndege bure, ninyi ni jirani wetu mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo pesa ya kununua ndege kama mnayo wanunulieni chakula Kule Turkana, Sisi tutawapa hiyo ndege bure kabisa kama mchango wetu kwa wanaokufa kwa njaa huko Kenya, kama tuliweza saidia nchi tatu kwa mpigo, hamuwezi shindwa kuwapa hiyo ndege bure, ninyi ni jirani wetu mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
William ruto atanunua hiyo ndege ili mpate hela za kununua maziwa huko Uganda watoto wenu wanywe angalau utapia mlo upungue nchini.
 
Back
Top Bottom