KQ to buy 10 Boeing planes totalling $1.2 bln

KQ to buy 10 Boeing planes totalling $1.2 bln

Sio busara kununua izo ndege,ziko option zingine mob kwann mnacheza na roho za watu?
Yaani wengine wasitishe nyie ndio muagize hamjishtukii tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wengine wakinunua moja inakua shangwe na sherehe nchi yote, sisi hapa tunaagiza kumi kwa mpigo.

Nyie mna own only 3 planes,nyingine zote m-me lease.

Shirika lenu ni kama Burundi airways tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wana own only 3 planes,nyingine zote wana lease.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Achana na bangi baridi.
tapatalk_1552293334614.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And I quote
Nyie mna own only 3 planes,nyingine zote m-me lease.

Shirika lenu ni kama Burundi airways tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
" ...KQ currently has a fleet of 40 planes, being a mixture of Boeing jets and the Brazilian-made Embraer 190. The aircraft comprise 20 that the national carrier fully owns and another 20 leased from other companies.

The national carrier has leased three of the Boeing 777-300ER to Turkish Airlines while a Boeing 787 Dreamliner has been leased to Oman Air where KQ earns lease rental income from the arrangement..."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watani wetu hutawezana nao ikifika kwenye umbea na longolongo bila facts. Walifungua nyuzi nyingi sana humu wakisema KQ ina ndege tatu tu. Ungedhani kwamba huo umbea kuhusu KQ ndio ungeongeza idadi ya ndege ambazo ATCL inamiliki. Kwenye hizo nyuzi zote ambazo walifungua humu sikutupia hata comment moja. Kwasababu sio jambo rahisi kubishana na mtu aliyebobea kwenye umbea, ni kibarua kigumu nakuambia. Kawaida yao ni kumeza fake news zozote ambazo zinaibuka Kenya, bila ya kujishughulisha kufatilia kwa undani wajue uhalisia wa kinachosemwa. Yaani ni ujuaji fulani hivi kuhusu vitu ambavyo hawavielewi hata kidogo. Huo umbea wote kuhusu umiliki wa ndege za KQ ulianza na mtu mmoja, mbunge wa Nandi Alfred Keter. Alfred Keter just imagine!
 
Hamna ubavu huo. Sisi tunanunua kwa cash mnakodi hizo ndege acheni ujinga wa kujisifia

Ndio matatizo ya akili za uswazi, huwa mpo mpo tu, tunamiliki ndege nyingi sana ambazo nchi yenu hamna uwezo hata wa kuota ndoto za kufikia.
 
Hawa watani wetu hutawezana nao ikifika kwenye umbea na longolongo bila facts. Walifungua nyuzi nyingi sana humu wakisema KQ ina ndege tatu tu. Ungedhani kwamba huo umbea kuhusu KQ ndio ungeongeza idadi ya ndege ambazo ATCL inamiliki. Kwenye hizo nyuzi zote ambazo walifungua humu sikutupia hata comment moja. Kwasababu sio jambo rahisi kubishana na mtu aliyebobea kwenye umbea, ni kibarua kigumu nakuambia. Kawaida yao ni kumeza fake news zozote ambazo zinaibuka Kenya, bila ya kujishughulisha kufatilia kwa undani wajue uhalisia wa kinachosemwa. Yaani ni ujuaji fulani hivi kuhusu vitu ambavyo hawavielewi hata kidogo. Huo umbea wote kuhusu umiliki wa ndege za KQ ulianza na mtu mmoja, mbunge wa Nandi Alfred Keter. Alfred Keter just imagine!
Wa Tz wako na ndege 7 zao, za serikali yao kwa kodi zao..GoK haina hata ndege moja zote ni za kampuni binafsi ya KQ..usipotoshe
 
KQ ikiwa na busara iwachane na 737-8 kwanza sababu sifa zake kwa wateja(wasafiri) ipo chini sana na itathiri biashara, mimi mwenyewe siwezi ingia hio ndege afadhali ni kate tiketi ya hela nyingi..Lakini sababu wao ni kanjanja, wacha tuone watafikisha wapi ukurupukaji wao

Yaa refer the signalling effects. All passengers are psychologically affected by the two consecutive happenings of the same flight model.
 
Kuna wengine wakinunua moja inakua shangwe na sherehe nchi yote, sisi hapa tunaagiza kumi kwa mpigo.

Ahaaa haaa haaa
Siyo kumi kwa mpigo tutakuja, MAANA yale siyo magauni. LAZIMA wasaini manufacturing agreement, ambayo itaeleza namna ya malipo na jinsi ya kuleta ndege kwa miezi sita au MITATU au mwaka.
 
Wa Tz wako na ndege 7 zao, za serikali yao kwa kodi zao..GoK haina hata ndege moja zote ni za kampuni binafsi ya KQ..usipotoshe
Well, the GOK owns 48.9% of KQ, if its a stupid d*ck measuring content you are after, then do your math. Wait, and a further 38.1% of KQ is owned by Kenyans, that is 87% right there. Furthermore, if its just ownership of planes we are talking about even the Kenya Airforce owns numerous birds. See where this dumb line of thinking will take us?
 
Back
Top Bottom