KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

Stop blaming your inneficiencies on us. Start acting instead of lamenting. Hilo la wauza ng'ombe linafanyika hapa Kenya. Huwezi kuuza ng'ombe, mbuzi au kondoo kwenye mnada hapa Kenya bila kulipa kodi.
Tuliza mzigo kaka
 
[emoji1][emoji1]
Wewe umesoma hizo comments za Watanzania,Watanzania hawajui kujifunza

Wanachojuwa wao ni ubushi na ushindanikama Wewe unafikiri huu uzi utawafunza Watanzania basi umekosea sana,huwajui hawa Watu..the most ignorant people in the planet Earth
 
Upo sahihi kabisa ndugu.. Matumizi ya tehama tz yapo chini sana hasa kwenye taasisi za umma.

Bado tupo miaka ya 80..

Hata TIN namba unatakiwa upate online kwa sababu kila mtu sasa ivi ana NIDA.

Mbona NMB unaweza fungua account na ukaanza kuitumia ukiwa kitandani kwako nyumbani.

TRA wamejazana maofisini kwa kazi ambazo zilisha hamishiwa kwenye mashine.
 
Achana na watu wa aina hii.. anadhani kusema hivi ataiganya kenya irudi nyuma kiuchumi.[emoji1]
Haungekuwa na chochote cha kujifunza Kenya, haungekuwa kwenye jukwaa la Kenya. Hii inadhihirisha jinsi chuki ilvyokukaba hadi kooni
 
Achana na watu wa aina hii.. anadhani kusema hivi ataiganya kenya irudi nyuma kiuchumi.[emoji1]
That is what he doesn't know. Chuki zake haziwezilemaza Kenya kimaendeleo hata dakika moja
 
Hoja nzuri lakini hii itawezekanaje wakati kila siku mnasema uchumi wa Kenya ni wa kupikwa? Is this not double standards?
 
Na vile vile haziwezi.lemaza Tanzania.. Ila kuwa na mawazo productive kunaweza saidia nchi zetu kwenda mbele kiuchumi na maendeleo..

Kenya ina mambo ya kujifunza Tanzania vile vile Tanzania Ina mambo ya kujifunza Kenya..

This combination itafanya nchi zetu zote zisonge mbele..

Hata binadamu hakuna aliye mzima.. unaweza kuwa Tajiri lakini una kisukari na yule fukara anaweza asiwe na pesa hata cent lakini ni mwenye afya nzuri na furaha tele.[emoji120]
That is what he doesn't know. Chuki zake haziwezilemaza Kenya kimaendeleo hata dakika moja
 
Huko kwote .. Nyumba za kupanga hadi leo hazija guswa .. biashara isiyo na mwenyewe.
Nashangaa mpaka leo hii...TRA haijaanzisha mfumo wa kuzitambua online business ambazo pengine zinaongoza kwa mauzo kwa sasa
 
Jifunze kiswahili,..Mtanzania hasomesheki wala kufahamishika kirahisi,..ni watu wabishi wanaobisha bila ya kujua nini wanabisha
Unaumwa jipu la ubongo wewe, hivi ukisema hujaelewa kitu ulichofundishwa au ulichotumwa maana yake hujaelewa lugha?, hiyo ni dalili ya kutojiamini na ulichoandika.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Unaumwa jipu la ubongo wewe, hivi ukisema hujaelewa kitu ulichofundishwa au ulichotumwa maana yake hujaelewa lugha?, hiyo ni dalili ya kutojiamini na ulichoandika.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kama hujaelewa maana yake hujafahamu.,,kilichoandikwa kiko wazi kabisa,kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili sasa nini hujaelewa ?

Tatizo lako kiswahili ni lugha yako ya pili baada ya lugha ya kabila lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…