KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

Who excluded South Africa? Magufuli or you?
 
Tatizo kubwa ni kodi kubwa,,mfanyabiashara akishindwa kulipa anafunga biashara,,sasa biashara zikifungwa nani atalipa kodi,si watabaki akina mo tu?,
Mtu mfano unaagiza kiatu china kwa shs 5000,
Kikifika kodi ulipe mfano 40,000,
Sasa hapo nani atafanya biashara be kichaa,
Wape watu kodi inayolipika,watu watalipa kodi kwa furaha bila kukwepa ama kuacha biashara
 
leo nimeenda kufile document yangu TRA wananmbia kila kitu sasa ni kufaili online !!!!!!!! nimeshangaa wakati jana yake nimefail manual na hawakusema hiyo habari ya online filling
 
leo nimeenda kufile document yangu TRA wananmbia kila kitu sasa ni kufaili online !!!!!!!! nimeshangaa wakati jana yake nimefail manual na hawakusema hiyo habari ya online filling
Huwa wanapita humu [emoji3][emoji3]
 
Sasa kama huamini tovuti una taka kuamini kitu gani.. tatizo lako ni uelewa mdogo.
 
Tatizo uelewa mdogo.
 
Mkuu.. hawa watu ujinga unawasumbua.. hawana data zozote kazi yao kuja kuleta ushabiki usio maana kwenye issue serious.
When will you stop having low IQ? The most taxed country in Africa is South Africa.
 
Hapo anatafuta rushwa ya buku[emoji1][emoji1]
 
TRA bwana kila mtu anafanya kazi as if kesho ana fukuzwa..

Kupata taarifa zao inakua ngumu sana unadhani ni nyara za serikali[emoji1][emoji1]
leo nimeenda kufile document yangu TRA wananmbia kila kitu sasa ni kufaili online !!!!!!!! nimeshangaa wakati jana yake nimefail manual na hawakusema hiyo habari ya online filling
 
Pengine hujui maana ya neno mjinga, binadamu wote duniani ni wajinga katika mambo fulani km hulijui hilo basi wewe utakuwa ni mpumbavu.
Hapo unanipa sifa zako coz Ukiona mtu anaelimishwa alaf anasema "Hainisaidii chochote hata nisipoijua" huyo ni a special kind of stupid, loosely translated kama mpumbavu. Ndo maana umefuta hiyo comment yako. We mwenyewe ulistaajabishwa na upumbavu uliokujaa.
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…