Mlivyoporwa mlikuwa wapi?Tabia za kike kulalama ovyo.Lambeni ndimu mimba changa hiyo.Simba hii iliyopora ngao ya jamii
Bangala ni mchezaji wa kawaida sana ,labda kama hujui mpira.Wamechelewa.
Wanafanya Hivi Baada ya KUONA MAKOSA Yao mengi kwenye USAJILI.
HAPO WANATAFUTA Beki na
Kiungo mkabaji.
Tuliwaahauri wamfanyie Robing Bangala Angeweza kucheza pote 5,6.
Simba wanatia Huruma.
Watopolo kuiombea Simba mabaya haiwasaidii kufanya vizuri kwenye CAFCL.Wacheni umbea.Inasemekana Aubin Kramo ameuomba uongozi wa klabu ya Simba wamruhusu aondoke kwenye klabu hiyo arudi kwao au wamtoe kwa mkopo kwa sababu kuna mambo hayaelewi kwenye timu hiyo, kila inapofika siku ya mechi anajikuta anaumwa alafu mechi ikiisha anakuwa sawa".
View attachment 2729558
Acha uongoInasemekana Aubin Kramo ameuomba uongozi wa klabu ya Simba wamruhusu aondoke kwenye klabu hiyo arudi kwao au wamtoe kwa mkopo kwa sababu kuna mambo hayaelewi kwenye timu hiyo, kila inapofika siku ya mechi anajikuta anaumwa alafu mechi ikiisha anakuwa sawa".
View attachment 2729558