Kramo anaomba kuondoka Simba

Kramo anaomba kuondoka Simba

Wamechelewa.

Wanafanya Hivi Baada ya KUONA MAKOSA Yao mengi kwenye USAJILI.

HAPO WANATAFUTA Beki na

Kiungo mkabaji.

Tuliwaahauri wamfanyie Robing Bangala Angeweza kucheza pote 5,6.

Simba wanatia Huruma.
Bangala ni mchezaji wa kawaida sana ,labda kama hujui mpira.
 
Inasemekana Aubin Kramo ameuomba uongozi wa klabu ya Simba wamruhusu aondoke kwenye klabu hiyo arudi kwao au wamtoe kwa mkopo kwa sababu kuna mambo hayaelewi kwenye timu hiyo, kila inapofika siku ya mechi anajikuta anaumwa alafu mechi ikiisha anakuwa sawa".

View attachment 2729558
Watopolo kuiombea Simba mabaya haiwasaidii kufanya vizuri kwenye CAFCL.Wacheni umbea.
 
Inasemekana Aubin Kramo ameuomba uongozi wa klabu ya Simba wamruhusu aondoke kwenye klabu hiyo arudi kwao au wamtoe kwa mkopo kwa sababu kuna mambo hayaelewi kwenye timu hiyo, kila inapofika siku ya mechi anajikuta anaumwa alafu mechi ikiisha anakuwa sawa".

View attachment 2729558
Acha uongo
 
Unajua wakati ule ndo tulikuwa tunajenga uwanja bajeti ya usajili ilikuwa ndogo sana kwa hiyo sajili zilikuwa za unga unga mwana ndo maana Man akatuotea
 
Back
Top Bottom