Kramo atonesha goti lake wakati akicheza match ya kirafiki

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
... [emoji3549] β€Ίβ€Ί 𝙄𝙉𝙅𝙐𝙍𝙔

Winga wa klabu ya Simba SC, Aubin Kramo alitonesha jeraha lake dakika ya (42') ya mchezo dhidi ya Ngome FC iliyopo katika Kambi ya Jeshi ya Tualipo (TAU) Temeke Jijini Dar Es Salaaam ambapo mchezo huo ulifanyika Bunju leo asubuhi.

Daktari wa Simba SC amesema kuwa watachunguza kujua kaumia kiasi gani, majibu watayatoa hivi karibuni kama kaumia sana au ni maumivu ya kawaida tu.
 
ANAROGWA
 
Pancha tena, au wameshamwendea kwa babu?
 
Back
Top Bottom