Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
CPA Dr OKWI BOBAN SUNZU unaitwa huku.Hivi yule jamaa alieanzisha uzi wa kuchambua hasara za kihasibu na za ki CAG za Yanga kumnunua Aziz Ki akachambua milioni 400 ilivyopotea hatua kwa hatua hadi nukta halioni hili la Kramo wajameni
CC OKW BOBAN SUNZU
ANAROGWA... [emoji3549] βΊβΊ πππ πππ
Winga wa klabu ya Simba SC, Aubin Kramo alitonesha jeraha lake dakika ya (42') ya mchezo dhidi ya Ngome FC iliyopo katika Kambi ya Jeshi ya Tualipo (TAU) Temeke Jijini Dar Es Salaaam ambapo mchezo huo ulifanyika Bunju leo asubuhi.
Daktari wa Simba SC amesema kuwa watachunguza kujua kaumia kiasi gani, majibu watayatoa hivi karibuni kama kaumia sana au ni maumivu ya kawaida tu.
Hawezi kuja ng'oo labda afungwe kamba harafu avutwe kwa fuso.CPA Dr OKWI BOBAN SUNZU unaitwa huku.
Pancha tena, au wameshamwendea kwa babu?... [emoji3549] βΊβΊ πππ πππ