nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Samatta ameonyesha mabadiliko makubwa sana, Samatta wa msimu uliopita sio wa msimu huu ndo maana mpk coach kesha mwamini anampanga mwanzoni na kumchezesha dk nyngNi hatari sana kwa kweli. Genk wamerudi kileleni,club brugge ya 2 royal antwerp bado ya 3
goals ni 4-2 ,Samatta kapiga 2 hivyo anaongoza msimamo wa wafungaji bora akiwa na GOALS 10
SAFI SANA SAMATTA WALAMBISHE NDIMU MA HATERS YA KIBONGO.
ni nooma hadi nicholaus karelius kapelekwa kwa mkopo huko kwao ugirikiSamatta ameonyesha mabadiliko makubwa sana, Samatta wa msimu uliopita sio wa msimu huu ndo maana mpk coach kesha mwamini anampanga mwanzoni na kumchezesha dk nyng
anaenda msimu ujao 26 sio mbaya,atatumika hata miaka 3 eplAngekuwa na miaka chini ya 24 huyu tungemuona EPL kama sio dirisha dogo basi msimu ujao
Tuombe Mungu...anaenda msimu ujao 26 sio mbaya,atatumika hata miaka 3 epl
Wazungu walimpoampa ile namba 10 Kutoka 77 nilishaelewa kitakachotokea. Mwaka jana injuries zilimtesa.Samatta ameonyesha mabadiliko makubwa sana, Samatta wa msimu uliopita sio wa msimu huu ndo maana mpk coach kesha mwamini anampanga mwanzoni na kumchezesha dk nyng
Ni kweli! Hata zidane alivuma akiwa over 26anaenda msimu ujao 26 sio mbaya,atatumika hata miaka 3 epl
Kwani ameshapita 24? Kama Okwi ana 25 inakuaje Samatta awe 24+?Angekuwa na miaka chini ya 24 huyu tungemuona EPL kama sio dirisha dogo basi msimu ujao
[emoji85] [emoji85] [emoji85] okwi ana 25 mpaka leo kaja simba 2009 cjui duu hyo miakaKwani ameshapita 24? Kama Okwi ana 25 inakuaje Samatta awe 24+?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji85] [emoji85] [emoji85] okwi ana 25 mpaka leo kaja simba 2009 cjui duu hyo miaka
Okwi ana miaka 33[emoji85] [emoji85] [emoji85] okwi ana 25 mpaka leo kaja simba 2009 cjui duu hyo miaka
mbele ya anderlecht na brugge vigogo hawa.....sijuiNaona krc Genk ikichukua ubingwa wa ligi ya belgium msim huu tumuombee Samatta apate ufungaji bora anaweza na ataweka rekodi nzuri ugaibuni
hii chai sasa sema baadhi ya timu kuna usimba na yanga ndio maana anatesa tzOkwi ana miaka 33