Krc Genk vs Royal antwerp. Samatta keshatupia bao 2

Krc Genk vs Royal antwerp. Samatta keshatupia bao 2

Ni hatari sana kwa kweli. Genk wamerudi kileleni,club brugge ya 2 royal antwerp bado ya 3
goals ni 4-2 ,Samatta kapiga 2 hivyo anaongoza msimamo wa wafungaji bora akiwa na GOALS 10
SAFI SANA SAMATTA WALAMBISHE NDIMU MA HATERS YA KIBONGO.
Samatta ameonyesha mabadiliko makubwa sana, Samatta wa msimu uliopita sio wa msimu huu ndo maana mpk coach kesha mwamini anampanga mwanzoni na kumchezesha dk nyng
 
Huyu samatta jamani mbona keshakua mtamu kama korosho daaah team yake inaongoza league na yy ndo anaongoza kwa ufungaji kwe msimamo
 
Samatta ameonyesha mabadiliko makubwa sana, Samatta wa msimu uliopita sio wa msimu huu ndo maana mpk coach kesha mwamini anampanga mwanzoni na kumchezesha dk nyng
ni nooma hadi nicholaus karelius kapelekwa kwa mkopo huko kwao ugiriki
 
Naona krc Genk ikichukua ubingwa wa ligi ya belgium msim huu tumuombee Samatta apate ufungaji bora anaweza na ataweka rekodi nzuri ugaibuni
 
Naona krc Genk ikichukua ubingwa wa ligi ya belgium msim huu tumuombee Samatta apate ufungaji bora anaweza na ataweka rekodi nzuri ugaibuni
mbele ya anderlecht na brugge vigogo hawa.....sijui
 
Back
Top Bottom