KRC Genk yatwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka ya Ubelgiji 2018/19

kingine

BELGIUM JUPILER LEAGUE

inapeleka team mbili kwenye UEFA CHAMPIONS LEAGUE

bingwa ambaye anapatikana kwenye play off ya team 6 anaenda Uefa Group Stage runner yaan nafas ya pili anaenda Uefa qualification yaan kuingia group stage mpaka apambane na team zingine uefa

mtu wa tatu anaenda Europa group stage wa nne Ueropa qualification

af kuna wale wa 7 mpaka wa 14 wanacheza leaugue ya play off ambapo ataeongoza ataungana na wa tano na sita kwenye Ueropa play off
 
Samahani sijakuelewa, unaweza kufafanua kidogo?

Ahsante
Niliuliza hizo playoffs inachezwa dhidi ya nani ukanijibu Gent dhidi ya ile nyengine mm nilichanganya nilidhani dhidi Genk ndio maana nkauliza Genk ikifungwa kwenye hiyo playoffs itakuwaje? Uzuri nilisoma tena kwa umakini nkagundua kumbe ni Gent na sio Genk

Swali jengine sasa hiyo itakayoshinda playoffs inaenda kwenye uefa au europa?
 
hio play off ipo kama leage ina team sita ambazo zinacheza mechi kwa kukusanya point na hua zinaanza kwa nusu ya point ilizokusanya kwenye michezo 30 ya team zilizopo kwenye ligi

hio play off inatoa bingwa na watao shiriki Uefa na Europa
 
Samatta kiatu cha dhahabu sidhani labda mechi ya mwisho atie goli 4.

Kuna mwamba wa kiarabu ana goli 25 yeye 23.
 
Samatta kiatu cha dhahabu sidhani labda mechi ya mwisho atie goli 4.
Kuna mwamba wa kiarabu ana goli 25 yeye 23.
jamaa nimebahatika kuchek game zake anapocheza ktk club yake, si mpambanaji style yake ya magoli ni ile ya kusubiri aletewe mipira amalizie, si mpambanaji samatta.
 
jamaa nimebahatika kuchek game zake anapocheza ktk club yake, si mpambanaji style yake ya magoli ni ile ya kusubiri aletewe mipira amalizie, si mpambanaji samatta.
haiitaj degree kujua Tz kuna wachawi

goals 23 unasema anabahatisha au anasubiri kuletewa mipiera...toka lini samata analetewa mipira n kumbuka kila team anayochezea hua one of the to scores

hio league kila ikichezwa inaonesha kwenye channel za michezo za startimes n nimeziona karibu game zote za Genk...hakuna game ambayo samata hajaonesha mchezo mzuri ila nikuambie tu hakuna mchezaji kwenye jupiler league anaejua kuji positiona kama Samata...amechukua mchezaj bora anayechezea league ya ubelgiji mwenye asili ya Africa kama unafikiri walimpa kisa goals alizoscore bas unajidanganya yule jamaa kwa sasa ni hatari...ila kwa kua wabongo tuna kauchawi bas tuendelee kuwanga
 
Samatta kiatu cha dhahabu sidhani labda mechi ya mwisho atie goli 4.

Kuna mwamba wa kiarabu ana goli 25 yeye 23.
acha kuposha watu hivyo

hio league huifuatilii huijui samata ni top scorer na anaemfata ana 18

kwa hio stage walofika magoli yanaongezewa kwa wale wanaocheza team 6 za juu huyo mwarabu wako anachezea team gani
 
acha kuposha watu hivyo

hio league huifuatilii huijui samata ni top scorer na anaemfata ana 18

kwa hio stage walofika magoli yanaongezewa kwa wale wanaocheza team 6 za juu huyo mwarabu wako anachezea team ganiView attachment 1100096
mkuu uyo nyumbu hajui analoliongea..labda jupiler league ya shinyanga ndo mwarabu wake anaongoza
 
Hongera kwake Mbwana,maana huo ubingwa amechangia asilimia 90
 
Congratulations captain Diego.
ubaya sasa genk wanaweza wakamuuza ndo shida hiyo. maana jamaa hawachelewi refer ndidi, bailey nk
 
Ila KRC Genk hii stage ya mwisho wametepeta kidogo, wapinzani wao hata ball pessiona wanawazidi.

Wajipange zaidi wafike mbali! Hongera kwao!
 
Klabu mbona chache sana hivyo katika hiyo ligi?
Hapana ina timu nyingi ila wao wanacheza halafu baadae nadhan kwenye mzunguko wa pili wanachukua timu sita za juu zinakuwa na ligi yao na zile zilizobaki zinapambana kwenye kushuka daraja
Zile za juu kilq mmoja anapewa nusu ya point zake ligi inaendelea kwa maneno mengine kama ingekuwa hapa kwetu wale vibonde lipuli na kagera wasingepata nafasi ya kutuchafulia cv zetu yanga na simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…