Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Haswa mkuu mpaka chumvini bila break sio poa mazerUnapiga ? 😂
Kipi cha ajabu katika ulimwengu wa science and technology!?Samahani ni mabibi sio mabobi
Mkuu unaufahamu mwaka 1955 Hadi Leo?Kipi cha ajabu katika ulimwengu wa science and technology!?
Hujui kuwa Kuna face surgery,lakini pia Kuna dawa za kuondoa makunyanzi !?
Atakuwa kadanganya ili apate pesa za uzeeni mapema ale bata. Sio kusubiri mpaka 68,mwili ushachoka,wazungu sindio wanachakaa haraka hawa kama Rooney wa Man U.Anaitwa Kris Jenner, mama mzazi wa Kim Kardashian. Huenda usiamini kuwa alizaliwa mwaka 1955, bado anaonekana nadhifu sana. Mtoto yuko soft kweli, kuvunja biskuti hawezi! 😅 Anavutia kwa namna yake, hadi unaweza kuanza kuwalinganisha na mastaa wengine. Natani tu wakuu! 🤣
Mkuu unafamu juu ya uwepo wa sayansi ya face surgery na uwepo wa dawa za kuondoa makunyanzi!?Mkuu unaufahamu mwaka 1955 Hadi Leo?
Aisee,
Mkuu unamfahamu? Unawafahamu watoto wake? Huyo ni star si mtu wa kawaida mkuu, record zake zipo alafu hakua hivo alikua Kesha zeeka kapigwa surgery, hiyo ni baada ya surgery ka sikosei mwaka Jana au juziAtakuwa kadanganya ili apate pesa za uzeeni mapema ale bata. Sio kusubiri mpaka 68,mwili ushachoka,wazungu sindio wanachakaa haraka hawa kama Rooney wa Man U.
Ndio naifahamu mkuu, mana hakua hivi alikua Kesha zeeka, surgery kafanya mwaka Jana ka si juziMkuu unafamu juu ya uwepo wa sayansi ya face surgery na uwepo wa dawa za kuondoa makunyanzi!?