Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Sijui ili huu muonekano ni surgery ya mwaka Jana ka si juziAna operesheni ngapi kuweka mwili sawa?
Sijui ili huu muonekano ni surgery ya mwaka Jana ka si juziAna operesheni ngapi kuweka mwili sawa?
Hapana mkuu namfatilia sana alafu sura yake haikua hii alikua Kesha kunja ngozi, baada ya kuona noma, akaenda kufanya surgery mwaka Jana ilitrend sana hio inshuItakuwa hujafuatilia kila kitu kuhusu yeye, umeangalia tu sura unayoiona online.
Ukisikia tafuta pesa mkuu, tusijipe moyo eti pesa si kila kitu, tujitahidi tuwe nazo mkuu muhimu Sanaa, huyu hana njaa watoto wake wote talk of the town, mwanae yule wa kike, alikua bilionea mdogo self made mwaka juzi dunia nzimaAisee,
Mshangazi amejitahidi
Kaka hapo pesa ipo, alafu kafanya surgery usiogope hata wewe unafanya hela Yako tu
Sasa mkuu hizo si hela kwani Bure? hizo gharama nikipewa Mimi nafungua kampuni kabisa na kuajiri na wewe ndugu yangu na wengineSiri ya Kris Jenner kuonekana kijana licha ya kuwa na zaidi ya miaka 70 ni pamoja na mchanganyiko wa matibabu ya urembo ya kisasa, skincare ya hali ya juu, Ameweka wazi mara nyingi kuwa anatumia Botox, fillers, laser treatments, pamoja na bidhaa maalum za ngozi kama seramu zenye viambato vya kipekee kama salmon sperm extract.
Katika huduma hizo Kuna haya mambo ambayo yamo :-
Huduma ya Ngozi
Lakini pia amekuwa akipokea ambayo yanajumuisha:-
- Laser skincare & red light therapy: Hufanya mara kwa mara ili kuongeza collagen na kupunguza mikunjo .
- Microneedling: Hutumika kufifisha alama za umri na kupunguza ukubwa wa pores .
- Bidhaa za Rejuran Cosmetics: Seramu zenye salmon sperm extract ambazo husaidia ngozi kujirekebisha na kuonekana laini na yenye mng’ao .
- Facelift na neck lift: Amefanya upasuaji wa kuinua uso na shingo, baadhi yakiwa yameonyeshwa kwenye kipindi Keeping Up With the Kardashians .
- Botox na fillers: Hutumika kudhibiti mikunjo na kuongeza ujazo wa ngozi.
- Collagen-building injections: Badala ya fillers za kawaida, hizi huchochea mwili kujenga collagen kwa njia ya asili .
Hitimisho,hakuna kipya kwa huyo mbimbi,labda kwa washamba wa technology.
Sioni jipya juu ya andiko lako,maana hata wewe unao uwezo wa kurudisha ngozi yako ikawa kama ya mtoto wa 20 yrs
Bro umeamua kuitembeza hii clip tukae kimasta zaidi ☺️ 🤣
Ndo unavo jidanganya, huyo familia yake yote ni master wa dunia, mtoto wake Mmoja alikua bilionea mdogo zaidi self made mwaka juziAtakuwa kadanganya ili apate pesa za uzeeni mapema ale bata. Sio kusubiri mpaka 68,mwili ushachoka,wazungu sindio wanachakaa haraka hawa kama Rooney wa Man U.
Pesa sabuni ya rohoAisee hatari sana
Money talks mkuuSurgery hizo kuanzia maziwa,sura facelift kwa kifupi hataki kuzeeka,anatembea na kiben ten kakizidi miaka 30+.Hii facelift kila baada ya miaka kadhaa anairudia tena.
Wanae wote wamerekebisha sura,pua, maziwa na kufanya bbl maswala ya natural hawayataki.
Hamna mkuu hujui kuchagua pisi🤣Mbona kafanana na midoli ya maduka ya nguo ya Sinza na Tabata.
Hamna pisi hapo,kila mwaka anakimbizana na surgery akubali tu kazeeka.Hamna mkuu hujui kuchagua pisi🤣
Ndio maana kiben ten kajiweka ila hana uzuri wowote kazeeka.Money talks mkuu
Mara bibi, mara mtoto, tushike lipi?Anaitwa Kris Jenner, mama mzazi wa Kim Kardashian. Huenda usiamini kuwa alizaliwa mwaka 1955, bado anaonekana nadhifu sana. Mtoto yuko soft kweli, kuvunja biskuti hawezi! 😅 Anavutia kwa namna yake, hadi unaweza kuanza kuwalinganisha na mastaa wengine. Natani tu wakuu! 🤣
Unajisemesha mkuu akikupa hupigi?Hamna pisi hapo,kila mwaka anakimbizana na surgery akubali tu kazeeka.
Ngozi zote below 25 zilivyo jaa, nigonge kibibi K inaning'inia kama utumbo wa ng'ombe.Unajisemesha mkuu akikupa hupigi?
NAPIGAAnaitwa Kris Jenner, mama mzazi wa Kim Kardashian. Huenda usiamini kuwa alizaliwa mwaka 1955, bado anaonekana nadhifu sana. Mtoto yuko soft kweli, kuvunja biskuti hawezi! 😅 Anavutia kwa namna yake, hadi unaweza kuanza kuwalinganisha na mastaa wengine. Natani tu wakuu! 🤣
Anakupokea unavo endaMara bibi, mara mtoto, tushike lipi?
Kuna jamaa yangu kaenda china, nimemwambia akirudi aje na vidonge vya kukuza Tako, si uliniagiza mkuu, kuwa na subra litakia kama la sanchoka, kazi ni kipimo cha utuJichubue na ww uwe mrembo kuliko YY.
Kazi ni kipimo cha utu