Kris Jenner, mama yake mzazi na Kim Kardashian, huwezi amini ni bibi wa 1955, lakini mtoto Yuko soft

Sasa mkuu hizo si hela kwani Bure? hizo gharama nikipewa Mimi nafungua kampuni kabisa na kuajiri na wewe ndugu yangu na wengine
 
Mara bibi, mara mtoto, tushike lipi?
 
NAPIGA
 
Jichubue na ww uwe mrembo kuliko YY.
Kazi ni kipimo cha utu
Kuna jamaa yangu kaenda china, nimemwambia akirudi aje na vidonge vya kukuza Tako, si uliniagiza mkuu, kuwa na subra litakia kama la sanchoka, kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…