Krismas imeniachia ugonjwa wa zinaa

wewe ni shujaa unapiga pmbu mchepuko kavu kavu una roho ngumu!!!! mkuu nenda hospital ukapate tiba sahihi na baada ya miezi mitatu ukapime VVU

ha ha ha ha ha haaa daaah nayo kali nimependa comment yako mkuu.
 
Mh ugonjwa wa zinaa dalili kuonekana siku moja sidhani,labda ulikuwa nao siku nyingi. Cha muhimu nenda kamuone daktari ndugu. Cha muhimu zaidi mjulishe mkeo mkapime wote. Pia yawezekana wewe ndiye uliyemuambukiza mchepuko ugonjwa. Kifimbo Cheza

Acha kumdanganya mwenzio,kwa mwanaume hakawii kuona gono ni baada ya siku moja tu anaanza kusikia washawasha.kina dada ndo huchukua muda kujua.
 

Ukiona Gari la TAYOA (mobile lab), nenda kapime ukimwi! Ni bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…