Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
- Thread starter
- #21
Halafu umeme ukikata utasikia maji hayatoki sababu ya umeme, kwahiyo kwao hamna afadhali, uwepo usiwepo hakuna majiHii nchi ukitafakar sana unashindwa kupata jibu,umeme upo inakuwaje maji inakuwa hayatoki