P Precious Diamond JF-Expert Member Joined Jun 9, 2023 Posts 593 Reaction score 1,376 Dec 30, 2024 Thread starter #21 Wagumu Tunadumu said: Hii nchi ukitafakar sana unashindwa kupata jibu,umeme upo inakuwaje maji inakuwa hayatoki Click to expand... Halafu umeme ukikata utasikia maji hayatoki sababu ya umeme, kwahiyo kwao hamna afadhali, uwepo usiwepo hakuna maji
Wagumu Tunadumu said: Hii nchi ukitafakar sana unashindwa kupata jibu,umeme upo inakuwaje maji inakuwa hayatoki Click to expand... Halafu umeme ukikata utasikia maji hayatoki sababu ya umeme, kwahiyo kwao hamna afadhali, uwepo usiwepo hakuna maji
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 17,022 Reaction score 36,936 Dec 30, 2024 #22 Precious Diamond said: Hayatoshelezi, roho inakaa juu juu kufikiria maji yatatoka saa ngapi na kujishikiria usipate tumbo la kuhara mambo yakaharibika Click to expand... Hahaha, Kaaaz kweli.
Precious Diamond said: Hayatoshelezi, roho inakaa juu juu kufikiria maji yatatoka saa ngapi na kujishikiria usipate tumbo la kuhara mambo yakaharibika Click to expand... Hahaha, Kaaaz kweli.