never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,009
Achana na wazushi,wasio juu kunyuka pamba ,viwanja....
Wana talk pumba,, awajui ku shine wao uvaa za duka .....
Za kupauka,,, ndio wanazo vaa,, shopping twende tandika utapendeza ukivaa mtumba....
Sio ndumba ...msela kwako nime fika mama....
Safari ndefu mix uchofu mizinga Sina pesa uki nikubari basi nime fika salama....
Nina big dic...k,. Usela sitaki tena nitavaa suti na tai......
Ndio uwezo wangu wa kuonga ni pipi,,, Ila kwako nitafika Adi kwenye chips yai....
Nisahidieni Wana jukwaa napenda kritika ....