Krosi zanoga Yanga

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Mabingwa wa kihistoria ligi kuu bara, yanga sc wameendelea kujifua huko Avic town.

Katika mwendelezo wa mazoezi yao mwalimu aliyepewa mikoba ya kukinoa kikosi hicho kwa muda, amekuja na programu kabambe.
Programu hiyo kabambe ameipa jina

KROSI.... Mikimbio kwa siku zinapigwa takribani krosi Mia tatu hamsini, mshambuliaji hatari Michael sarpong amekuwa mnufaikaji zaidi na krosi hizi kwa siku hufunga magoli Mia mbili na hamsini.

Mshambuliaji huyo hatari ametuma salamu kwa mabeki wa ligi kuu bara, pindi ligi itakapo rejea mapema mwezi ujao basi wajipamnge kwa mikrosi hiyo hatari.

 
Kama Sarpong bado yupo hakuna timu hapo
 
Siku zote nasemaga "YANGA NI KIKUNDI CHA WAHUNI KILICHOUNDWA NA MAJAMBAZI WALIOSHIKILIA UONGOZI WA HICHO KIKUNDI"
Mkiwatoa viongozi wenu na mkawaweka wanaojua mpira angalau mtabadilika kama hadhi ya klabu inavyopaswa kuwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…