KRYPTOS: Fumbo lilowashinda CIA

KRYPTOS: Fumbo lilowashinda CIA

Hii sio hacking bali ni information Encryption and Decryption. Unaweza ukahack computer ukafetch data lakin ukashindwa ku-decrypt data ili upate information iliyopo. Kwenye field ya hacking ukiwa na data ni useless lakini ukiwa na information umeshinda.
 
Nikadhan umelitatua wew kumbe tuanze tena nasi kuligumbua wakati CIA wanaangaika [emoji53]
 
Kama CIA wameshindwa nyie mtaweza? Tusiumizane vichwa jamani
 
Mi mwenyewe apa nna fumbo langu sijui hawa CIA wataliwezaa?? Naombeni tovuti yao niwapelekee
 
Back
Top Bottom