Kitu cha cofee fusionngoja nipate don nyati kila kitu ni easy
Mie naami mtu akivuta bangi anakuwa smarter sana.Jamaa alivuta Bangi zake akaamua kuandika makorokocho, CIA inangaika Na Bangi za msela, Yee mwenyewe hakumbuki aliandika nini
code za namna hyo hazna uhusiano hata chembe na hackingKwa hackers naimani washaipata au wanaifanyia kazi!!
Hiyo imani ulionayo ni imani potofu.Mie naami mtu akivuta bangi anakuwa smarter sana.
Hii topic sijaisoma