Kryzstof piatek

Kryzstof piatek

Kwamtazamo Wangu Usajili wa Zlatan iblahimovic ni sababu ya kwanza, kutokujituma ni sababu ya pili pia labda Milan walikuwa na expectations kubwa kwake kiasi kwamba akawadissapoint......

Ila mwanzo alianza vizuri sana
 
wanasema ni laana ya kuvaa jezi no 9 ambayo ilikuwa inavaliwa na Inzhagi kwani kila mchezaji anayesajiliwa akipewa jezi hiyo anakuwa anafanya vibaya.Mwanzoni alianza vizuri kabla ya kubadirishiwa jezi ila inawezekana kutokana na mabadiriko ya kocha mfumo aliokuwa anatumia haukumwezesha yeye kufanya vizuri
 
Back
Top Bottom