Mahakama Kuu (High Court) ime-deliver landmark ruling ikisema serikali ilikiuka haki za wananchi during Kisumu protests za 2023. Jaji Alfred Mabeya aliconfirm kuwa police walitumia excessive force watu walishootiwa, kupigwa na wengine kupoteza maisha, which violated constitutional rights kama right to life, dignity, equality na security.
Court imeaward total ya Ksh.38.6M Families za wale waliokufa walipata between Ksh.910K to 1.4M
Wale walijeruhiwa vibaya wakapewa hadi Ksh.4.87M depending na injuries na future medical needs
Lakini hii case haikuwa tu kuhusu pesa…
Court Orders (Big Deal):
Serikali lazima ifanye investigations ndani ya 90 days ziwe transparent na victims wapatiwe updates
New clear rules on handling protests & use of force ziandikwe na kuchapishwa
Court itaendelea kufollow up (judicial oversight) kuhakikisha hizi orders zimefanywa
Jaji alisema Bill of Rights si story ya theory ni kitu lazima serikali iheshimu fully. Pia alicriticize police kwa kukosa accountability na professionalism kama inavyotakiwa chini ya Constitution.
Human rights groups kama International Justice Mission wamesema ruling inaleta hope, but bado kuna many unresolved cases za police abuse Kenya nzima.
Bottom line:
Hii ni major win for justice, lakini pia inaonyesha system bado iko na gaps kubwa. Swali ni will serikali na police actually implement hizi reforms ama ni another ruling itaishia kwa papers?
Source -Citizen digital