JIFUNZENI KWENDA NA MUDA JAMANI!kila kitu bongo tunakimbizana na dead-line,kila kitu.Kwa hiyo wanatoa adhabu au??!!
Sasa huyo ni mimi tu, nyuma yangu kuna mamia na mamia wanaangaika hivi hivi, je huu ni uungwana kwa hawa jamaa wa tigo?Leo nimeanza safari ya kusajiri line yangu, nimeanzia mnazi mmoja, foleni kali sana, nikaenda magomeni usarama hapo ndo usiseme, kiguu na njia hadi mwembe chai, nyomi kibao, sikukata tamaa hadi ubungo ukipita kwenye mataa unapinda kama unaenda chuo kikuu, na hapo watu wengi sana,
Kaitaba usipoangalia utafika Morogoro
JIFUNZENI KWENDA NA MUDA JAMANI!kila kitu bongo tunakimbizana na dead-line,kila kitu.
ninyi ndo mnaesababisha foleni
JIFUNZENI KWENDA NA MUDA JAMANI!kila kitu bongo tunakimbizana na dead-line,kila kitu.
ninyi ndo mnaesababisha foleni