ktk hili tigo wamefulia

ktk hili tigo wamefulia

Leo nimeanza safari ya kusajiri line yangu, nimeanzia mnazi mmoja, foleni kali sana, nikaenda magomeni usarama hapo ndo usiseme, kiguu na njia hadi mwembe chai, nyomi kibao, sikukata tamaa hadi ubungo ukipita kwenye mataa unapinda kama unaenda chuo kikuu, na hapo watu wengi sana,

Kaitaba usipoangalia utafika Morogoro
Sasa huyo ni mimi tu, nyuma yangu kuna mamia na mamia wanaangaika hivi hivi, je huu ni uungwana kwa hawa jamaa wa tigo?
 
JIFUNZENI KWENDA NA MUDA JAMANI!kila kitu bongo tunakimbizana na dead-line,kila kitu.

ninyi ndo mnaesababisha foleni

NO hurry in afrika, everything starts late but ends in time,
kwa wasiojua ni kwamba baada ya tarehe 31 line ambayo haijasajiliwa haitatumika mpaka hapo itakaposajiliwa,ikitokea line yako hujaisajili mpaka muda huo opereta wako atalazimika kukufungia huduma hadi utakaposajili ndipo utarudishiwa huduma.
 
Hata hapa mzumbe tigo imekata toka ijumaa, yani no communications til today.
 
JIFUNZENI KWENDA NA MUDA JAMANI!kila kitu bongo tunakimbizana na dead-line,kila kitu.

ninyi ndo mnaesababisha foleni

very true mngegutuka mapema wala haya yasinge wakuta

mpwa mi kwa kukimbizana na deadline nin award ila kwenye kusajili line nilijikana nikawa wa mwanzo saa hizi nawacheck kwenye jua mstari huo ka wanasubiri unga wa yanga toka chama cha ushirika heeeheee!!!

chipu iz eksipensivu!!! hahaaaaa
 
Back
Top Bottom