INAUZWA KTM 690 Enduro R

mkuu bei za kawaida sana kwenye pikipiki usishangae milioni 40,000,000 Tsh kuna pikipiki zinabei kubwa zaidi nazipo hapa bongo watu wanazitumia unakuta mtu kaipaki nyumbani kwake anatumia mala moja tu kwamwezi ushingae ndugu

Hivi Kawasaki Ninja inauzwa shilingi ngapi?
 

Upo conscious lakini asiyeelewa atakuona una wivu.
 
mileage 00 bei yake ni milioni 40,000,000 tsh
Wengi humu hawajui kama kuna pikipiki za kifahari,wamezoea fekon na boxer tu!kwa sisi tunaojua madude(pikipiki) hyo ni bei ya kawaida sana!

Sikiliza Toka Kwangu!
 
unakuta mtu hata mia hana lakini anapoteza muda kuwangia post

msemaji wa Watanzania
Nionavyo mimi.......
Hiyo mtu katoa maoni yake kwenye uzi kuwa hawezi kununua pikipiki 1 kwa 40m bora anunue bodaboda kadhaa zimletee hela.
Wewe kama muuzaji nadhani ulitakiwa kumshawishi kuwa akishamiliki bodaboda 20 awe na
unakuta mtu hata mia hana lakini anapoteza muda kuwangia post

msemaji wa Watanzania
Nionavyo mimi.......
Hiyo mtu katoa maoni yake kwenye uzi kuwa hawezi kununua pikipiki 1 kwa 40m bora anunue bodaboda kadhaa zimletee hela.
Wewe kama muuzaji nadhani ulitakiwa kumshawishi kuwa akishamiliki bodaboda 20 awe na KTM moja ya kwendea kazini, au hata kufuatilia vijana wa bodaboda, na sio lugha hizi. Wewe kama muuzaji unahitaji hela kutoka kwa mnunuzi ila mmejiweka kutokuwa na lugha za staha, Hivi unadhan muuzaji ni wewe tu?
Kumbuka importer ni weengi sana kwa sasa.
Watu wanaangalia nani ana kauli nzuri, sijui mnajionaje, miungu!!!!
Nasema hivi sababu last week nilipata contact za seller wa spare za yamaha lakini kumpigia naomba punguzo akasema "kama hutaki acha". Nikanunua kwingine.
Hebu ongeeni kistaarabu wewe kama mtafutaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi humu hawajui kama kuna pikipiki za kifahari,wamezoea fekon na boxer tu!kwa sisi tunaojua madude(pikipiki) hyo ni bei ya kawaida sana!

Sikiliza Toka Kwangu!
Wengi humu hawajui kama kuna pikipiki za kifahari,wamezoea fekon na boxer tu!kwa sisi tunaojua madude(pikipiki) hyo ni bei ya kawaida sana!

Sikiliza Toka Kwangu!
hapa sio sehemu ya ushauri nasaa hapa nimatangaozo ya bishara ukiona Tangazo linakuhusu unasoma kamali halikuhusu tafuta unachokitafuta sio kuletaujuakali hapa na sio malengo ya muanzilishi bali ni umasikini wakufikiri kwa baadhi ya watu
 
Wewe unawaza biashara wenzako wanawaza kutumia, kweli umasikini mbaya aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzako wenye kununua bikes kama hizo walishatoka kwenye hizo stage unazofikiria za kimaisha wamepaki ma Range,Lexus,ma bmw huko majumbani kwao inshort wana magari ya luxury na huo muda wa kufanya biashara ya Taxi/bodaboda sio interests zao hao.

Pia ujue kuendesha pikipiki ni hobby kwa wengine.
 
Wenye kipaji cha kuelewesha tusaidie ili twende sawa sikunyingi mtu anaweza asitangaze bishara zake hapa kwasabu ya baadhi ya watu wache wanataka kupotosha maana na umuhimu wa sehemu hii
 
Nakubaliana na wewe mkuu, nimechangia tu kwa uelewa wangu , sio kuharibu biashara ya mtu ...kumbuka hili ni jukwaa huru linabeba kila aina ya watu ,.... masikini, matajiri, wehu , timamu etc etc .... naweza kuwa sahihi au si sahihi,

ninachoshangaa ni jinsi mleta uzi anavyopanic ( povu) as if namsanulia dili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…