INAUZWA KTM 690 Enduro R

INAUZWA KTM 690 Enduro R

Wenzako wenye kununua bikes kama hizo walishatoka kwenye hizo stage unazofikiria za kimaisha wamepaki ma Range,Lexus,ma bmw huko majumbani kwao inshort wana magari ya luxury na huo muda wa kufanya biashara ya Taxi/bodaboda sio interests zao hao.

Pia ujue kuendesha pikipiki ni hobby kwa wengine.
Nakubaliana na wewe mkuu, nimechangia tu kwa uelewa wangu , sio kuharibu biashara ya mtu ...kumbuka hili ni jukwaa huru linabeba kila aina ya watu ,.... masikini, matajiri, wehu , timamu etc etc .... naweza kuwa sahihi au si sahihi,

ninachoshangaa ni jinsi mleta uzi anavyopanic ( povu) as if namsanulia dili
 
Nikinunua Harrier hybrid kwa hiyo hela napata more utility kuliko hiyo pickx2
 
Back
Top Bottom