igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 957
- 1,496
Nakubaliana na wewe mkuu, nimechangia tu kwa uelewa wangu , sio kuharibu biashara ya mtu ...kumbuka hili ni jukwaa huru linabeba kila aina ya watu ,.... masikini, matajiri, wehu , timamu etc etc .... naweza kuwa sahihi au si sahihi,Wenzako wenye kununua bikes kama hizo walishatoka kwenye hizo stage unazofikiria za kimaisha wamepaki ma Range,Lexus,ma bmw huko majumbani kwao inshort wana magari ya luxury na huo muda wa kufanya biashara ya Taxi/bodaboda sio interests zao hao.
Pia ujue kuendesha pikipiki ni hobby kwa wengine.
Halafu mwisho wa siku hiyo hiyo KTM inakuwa kaburi lako, huu ni usengerema uliopitiliza, lkn maandiko yanasema watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Jamaa ana maana kwa hiyo 40m unaweza pata carina Ti.. 8 (nane) ukagawa kwa vijana wazunguke nazo mjini wakupe 200 k @ / week = 1.6m kila weekend
Btw Pikpik ni nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ndugu mbona mgumu kuelewesha.sasa umekazania kuandika million 40,000,000 ndo hela gani hii? We sema million 40 tuelewe.kuna watu wamezoea Sanlg ukimwambia milion 40,000,000 pikipiki moja anakuona mwizi