KTN-Kenya kuonyesha EPL live!

KTN-Kenya kuonyesha EPL live!

Mwax 1

Member
Joined
Dec 20, 2015
Posts
30
Reaction score
3
kwa wale wenye ving'amuzi vinavyokamata hii channel sasa wataenjoy epl live,..kwa leo watarusha game ya everton vs west brom saa 6:00 pm(EAT)
 
hamna kitu hapo, wanachukulia super sport select 2 ambao kila weekend wanaonesha match 1 ya EPL ambayo channels kibao kama wbs ya uganda pia wanaonyesha
 
Back
Top Bottom