KTN, NTV, citizen TV mnajitahidi sana

KTN, NTV, citizen TV mnajitahidi sana

Duh, hata mimi siku hizi isidingo ikiisha naingia jf. ITV is becoming increasingly unreliable in terms of keeping viewers aware of hush realities of this phase 5 regime!
ITV washakuwa pro-regime.Sijui ni uoga au n'nini.
 
hivi kuna channels Tanzania ambazo huwa zinaleta KTN, NTV na Citizen? ama mnazitazama online? hata mimi ningependa sana watuletee stesheni za tanzania humu...kwa sasa huwa natazama live stream mtandaoni...
 
Ukweli ni Mchungu ila lazima tuuseme tu kenya wako mbele yetu swala Media kwa Ujumla, Bongo mpaka leo ni station moja tu ndio ina Broadcast kwa English hivi hao international viewer unategemea Kutune hapo kupata habari za nchi yetu, Ukija hio TBC iko ICU hoi kabisa hakuna professional zaidi ya uchuchaji wa kipi kiruke kipi kiachwe
 
Tupende vyetu hata kama vibaya!

Sheikh Abdallah,
Ukiwa na mawazo ya hovyo namna hii kitu kinaitwa maendeleo kwako itakuwa ni ndoto...!
Ili na wewe uwe na kitu kizuri lazima uwe na wivu wa maendeleo na kama mwenzako amekuzidi kimaendeleao, kielimu au kiuchumi lazima na wewe upambane kufika alipo na ikiwezekana kumpita. Huo ndo unaitwa wivu wa maendeleo achana na wivu wa kike..!!!!
 
ukiwalipa wafanya kazi vizuri watajituma vilivyo. baadhi ya watangazaji kwenye stesheni tajwa wana mishahara inayozidi mshahara wa waziri, lazima atakua na jeuri ya kumhoji yeyote na akamuuliza maswali magumu ambayo wa kwetu hawawezi wakadhubutu hata kugusia kwa mbali.
 
Back
Top Bottom