KTV live jamaa wa NASA akiri kuna tallying centre Arusha

KTV live jamaa wa NASA akiri kuna tallying centre Arusha

Nafikri wachangiaji hapo juu hawajakuelewa. Siyo nzuri kidplomasia. Hiki kitu kitakuwa kilianza kama siri ingawa upabde wa pili walishutikia na kusema tallying centre iko Kigamboni.

Nimesikia jana NASA wanasema hawawezi disclose chanzo cha taarifa walizonazo. Hata hivyo hii bado ni mapema na nisijue hizi habari umezisikia wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si umeona polisi wa kenya wamevamia tallying centre ya Nairobi. Yule jamaa wa nasa akasema polisi wamejisumbua sababu tallying kubwa ipp arusha
Hiyo waliyovamia ni ndogo. Angalia tv

Sawa, bahati mbaya niko barabarani na quea za Dar. Na hapa tunasubiri kuruhusiwa. Ngoja nikifika nitaangalia. Kumbe Lowasa alifanya Makosa kuwa na tallying centre ndani ya nchi. Wa NASA watakuwa wamepata somo toka kwa yaliyompata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When horses are dying they should let mass to know what's going on.
 
Mara Arusha mara Kigamboni mara wanna matokeo yao wenyewe, alimradi sarakasi.

Hii tabia ya Wapinzani wa Afrika inaniudhi Sana. Siku zote matokeo yakiwa mazuri kwao, wananchi wameamua, yakiwa kinyume chake wameibiwa kura, hii ni tabia ya ubinafsi uliopindukia.

Kuna sababu gani ya kuingia kwenye ushindani ilhali unaamini lazima ushindi uwe upande wako.? Shame on political leaders of this nature.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tallying centre Arusha matokeo wanayapata wapi hayo makaratasi ya kura? au kuna mfumo wa compyuter unatumia kupata idadi ya kupiga kura?
 
Back
Top Bottom