KTV live jamaa wa NASA akiri kuna tallying centre Arusha

KTV live jamaa wa NASA akiri kuna tallying centre Arusha

binafsi Mkuu sitaki kua mnafiki Kenyatta na Ruto wamefanya rushwa ishamili sana Kenya, na hii inafanya maisha yao kua ya shinda kweli kweli hilo pekee lilotosha kuwapeleka nyumbani endapo ...sasa Raila kosa la kwanza alilofanya ni mapema ni yeye na ma principal wenzie kutangaza jinsi watakvyogawana madaraka baada ya kuingia Ikulu...kosa hapo ni kwamba goverment expenditure ingepanda juu maradufu...ufahamu mpaka sasa Kenya ni moja ya nchi yenye mishahara mikubwa sana kwa wabunge,diwani,gavan,senata,Raisi...sasa mpaka hapo kaka hawa Nasa ubinafsi wao ulionekana mapema sana...pia social media department yao ilikua so poor kuuza sera zao compared to Jubilee...lingine na yule tenderprenuer nguli kusemekana ndio financier wao kwa ahadi atapewa bandari Mombasa n kiwanda cha bostola Eldoret...pia vyama wahusika Nasa kutokumbaliana majimboni kua na mgombea mmoja,hii ilikipa Jubilee kupenya kwenye mgoma zao kama Magharibi, Pwani n.k....wewe ni shaidi mzee Lowasa alikua anajaza umati 2015 kwenye kampeni zake ila sasa kuna tofauti iliyopo sio wote wanaofurika kwenye kampeni ni wapigakura...wakenya walijiadikisha milioni 19 na waliopiga kura ni 15 hivi..sasa usishangae hawa 4m ndio walikua wanajaza mikutano ya Raila...
Well said.... thanx kwa mchango mzuri nmekuelewa mkuu nmeona kuna mengi sana inabidi NASA wafanye kuelekea 2022
 
Back
Top Bottom