Namaanisha ya NASA chakuhesabia kura zao. Ambacho serikali ilikanusha kuwa kipo TZ. Sio kibanda cha kupigia kuraWakenya waliopo Tanzania nao wamepiga kura kama walivyopiga nchi zingine...cha ajabu ni kipi hapo.
Si umeona polisi wa kenya wamevamia tallying centre ya Nairobi. Yule jamaa wa nasa akasema polisi wamejisumbua sababu tallying kubwa ipp arushaNafikri wachangiaji hapo juu hawajakuelewa. Siyo nzuri kidplomasia. Hiki kitu kitakuwa kilianza kama siri ingawa upabde wa pili walishutikia na kusema tallying centre iko Kigamboni.
Nimesikia jana NASA wanasema hawawezi disclose chanzo cha taarifa walizonazo. Hata hivyo hii bado ni mapema na nisijue hizi habari umezisikia wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, bahati mbaya niko barabarani na quea za Dar. Na hapa tunasubiri kuruhusiwa. Ngoja nikifika nitaangalia. Kumbe Lowasa alifanya Makosa kuwa na tallying centre ndani ya nchi. Wa NASA watakuwa wamepata somo toka kwa yaliyompata.Si umeona polisi wa kenya wamevamia tallying centre ya Nairobi. Yule jamaa wa nasa akasema polisi wamejisumbua sababu tallying kubwa ipp arusha
Hiyo waliyovamia ni ndogo. Angalia tv
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm mwenyewe hapa nyumbani kwangu najumlisha kura. Kwani kuna shida gani wakati matokeo yanawekwa wazi na lEBC kila yaingiapo?Namaanisha ya NASA chakuhesabia kura zao. Ambacho serikali ilikanusha kuwa kipo TZ. Sio kibanda cha kupigia kura
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajibu bila kusomaNamaanisha ya NASA chakuhesabia kura zao. Ambacho serikali ilikanusha kuwa kipo TZ. Sio kibanda cha kupigia kura
Sent using Jamii Forums mobile app