KTV live jamaa wa NASA akiri kuna tallying centre Arusha

Ya ngoswe muachie ngoswe bado tuna ushungu na Ya kwetu kama hayohayo 2015
 
Mkuu mbona rwanda wamekubali matokeo?? Kiufupi wanalalamika maana chaguzi nyingi za afrika sio huru na haki rejea jecha kufuta matokeo, rejea besigye 2016, Tsvangirai 2008/9 na odinga 2007/08 kote huko ni uharamia tu ulifanyika hadi baadhi ya nchi kusababisha machafuko ssa ulitaka wawe na imani na tume hizi ????

Kma mtu ana madai na ukayaskiliza alafu ukayajibu kwa hoja na ushahidi hivi kivp mpinzani atakataa matokeo???

Ssa kama Tanzania ukawa walidai wameibiwa kura !!! Tufanye waongo ila je unatakiwa ujiulize

Kwanini NEC haikupokea malalamiko ya lowasa na kuyajibu kwa facts ili watanzania wote tujue nani muongo?? Zaisi wakatangaza mshindi!!!

Kwanni polisi ivamie kituo cha UKAWA kukusanyia matokeo kule kijitonyama/sinza???

Haya yote yalijenga picha kuwa kweli upinzani uliibiwa kura ssa kwa mazingira kma hayo unategemea chadema watakuwa na imani na tume 2020???
 
JK alishinda kwa zaidi ya 80% 2015 bado Mbowe aligoma kukubali matokeo, hii ni kasumba ya viongozi wengi wa upinzani Africa, hawana ustaarabu wala ujasiri wa kukubali kushindwa. Nitajie uchaguzi wowote wa Tz, Kenya au Uganda ambapo chama kinachofuatia( cha pili) kwa ushindi wamekubali kushindwa hata mara moja.
 
Kama unampango wa kupika matokeo utakuwa na wasi wasi na tallying centre za wagombea. Vinginevyo huna sababu ya kuvizuia.
 
Mazingira yapo hivyo na viongozi wetu wanaelewa fika kanuni zitakazotumika mchezoni.

Inakuwaje viongozi wenye uchungu na nchi zao kushiriki kwenye michakato ambayo wanajua mwisho haitakuwa na haki wala usawa?

Nikisema wanasiasa wetu wanachumia tumbo ntakuwa nakosea!?

Mfano ulioutoa wa Rwanda sikutegemea utoke kwako. Kilichotokea Rwanda ni hiki ninachokisema. Kama unaelewa kanuni za mchezo zitakwenda kumpendelea aliyegharamia mziki, basi ingia ucheze na usihoji uamuzi wa mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mkuu unashauri nini ?? Wasusie kma maalim seif??? Seif kasusa kapata nini???
 
CUF 2010 walikubali matokeo zanzibar

Na ikitokea wamekataa matokeo huwa kuna kasoro mkuu na wwe nikuulize hivi ni uchaguzi gani ambao umekuwa huru na haki hapa afrika mashariki just be open ukiachana na huu wa kenya angalau umeridhisha je wa rwanda??? Uganda?? Tanzania , zenji kwa jecha??? Burundi je kwa dikteta?? Nipe uchaguzi mmoja tu ambao ulikuwa huru na haki hapa afrika mashariki ndio nijibu swaki
 
Sheria za Kenya hazikatazi opposition kuwa na tallying center.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2010 CUF hawakukubali matokeo, bali Maalim Seif aliridhia baada ya kuahidiwa cheo cha Umakamu wa Rais. So haikua CUF ila Maalim.

Wanasiasa wetu wa upinzani wanajiwakilisha wenyewe wala sio wananchi. Pale ambapo wao wameridhika maslahi yao yatapatikana kila kitu kiko sawa, kama hawayaoni weeeeee, no way.

Bado nakumbuka M/kiti wetu alivyobadilishia gia angani. Kuna jamaa tulishiriki kumtukana matusi ya kila aina kwa miaka minane mfululizo, mara alipokaa na kuelewana na viongozi wetu, tukaambiwa ndo mwokozi wetu. Sitaki kabisa Siasa aisee!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…