Ku apply Perogative order yenye Certificate of Urgency ina gharimu kiasi gani?

Ku apply Perogative order yenye Certificate of Urgency ina gharimu kiasi gani?

Jimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2010
Posts
4,444
Reaction score
4,967
Magwiji wa sheria naomba mnijuze tafadhali, kiwango cha chini cha kupatiwa hiyo kitu hapo juu!
 
Professional and Bush Lawyers please, njooni huku msaidie bana!
Huko kwenye jukwaa la mapenzi mnafanya nini muda wote?
 
Mkuu mimi nijuavyo Prelogative orders ni sawa na civil suits zingine, pia cerificant of urgency haina uhusiano na garama. Kwa hiyo gharama yake itategemea na value ya suit property (if so) na inategemea na order unazoomba na pia kiasi cha attachments utakozoweka kwenye petition yako. Kwa uzoefu wangu haipungui laki moja, pia sijawahi ona iliyofikia laki mbili.
 
Back
Top Bottom