Mkuu mimi nijuavyo Prelogative orders ni sawa na civil suits zingine, pia cerificant of urgency haina uhusiano na garama. Kwa hiyo gharama yake itategemea na value ya suit property (if so) na inategemea na order unazoomba na pia kiasi cha attachments utakozoweka kwenye petition yako. Kwa uzoefu wangu haipungui laki moja, pia sijawahi ona iliyofikia laki mbili.